!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

ZISHINDE CHANGAMOTO ZA SAIKOLOJIA YA TRADING

Sponsored Content

Kanusho: Hali ya kiuchumi/kifedha ya msomaji haijazingatiwa, kilichoandikwa kwenye nakala hii kamwe isichukuliwe kama ushauri wa uwekezaji au fursa ya uwekezaji bali itumike kama elimu tu na matokeo yaliopita hayakuhakikishii matokeo yajayo

Huwa tunatumia muda mwingi na jitihada kubwa kutafuta strategies mbalimbali tutakazozitumia kufanikiwa katika trading, lakini ni kwa uchache sana tunaweka jitihada kama hiyo katika saikolojia ya trading.

MAFANIKIO

Kufanikiwa katika trading unahitaji “M” tatu.

1.“M”oney management/ Usimamizi wa mtaji.

2. “M”ethodology / strategy/ Mpango mkakati wa trading.

3. “M”indset / Saikolojia.

Takwimu zinaoneonesha Mindset/ saikolojia huchangia kwa asilimia 55% mafanikio yako katika trading, na kuziachia asilimia 25% Money management na asilimia 20% strategy. kwa takwimu kama hii inadhihirishia kwamba yakupasa kutia juhudi kubwa sana katika swala hili la trading mindset.

Saikolojia ya trading huja katika changamoto mbalimbali, ambapo usipo weka mkazo namna utavyopambana na changamoto hizo, hupelekea hasara na msongo wa mawazo pale maendeleo yanapokua hafifu kwenye trading yako.

UWOGA UNAPOKUWA KWENYE TRADE

Hili tatizo huzaliwa na baba ambae ni uwoga wakufeli biashara ya trading na Mama ambae ni kutokujiamini na trading strategy yako.

Uwoga wa kufeli biashara ya trading:

Tatizo hili ni kubwa sana na chimbuko lake ni mwanzoni kabisa unapoanza trading. Ieleweke kwamba trading sio bishara au ajira yakukupa kipato cha kila siku au mwezi bali ni uwekezaji. Kamwe usitegemee trading kuendesha maisha yakila siku bali ni njia ya kukutajirisha kwa kipindi kirefu yaani uwekezaji. Ukiwa na mtazamo huu itakusaidia kutokuwa na uwoga wa kufeli biashara ya trading, utaweza kuchukua trades bila uwoga na kufanya maamuzi yakinifu bila kuwa na mihemko yoyote yakushindwa kuendesha maisha yako ya kila siku.

Kutokujiamini na trading strategy yako.

Subscribe
Notify of
guest
2 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Joshua
Joshua
3 months ago

Daaaaah Shukrani Sana kwa huu uzi Chief kwa kweli nimejifunza mengi sana tena sana .Mungu akubariki sana.Yani ni uzi ambao umenigusa mno kwa kweli nitazidi kuusoma mara nyingi zaidi.mambo yote uliyoeleza yashanitokea niliwahi toa 13$ to 211$ in 2 days then baadae nkaishia kurudisha 70% ya faidi kwa broker .kweli psych n kitu muhimu sana Mungu atusaidie tusiwe na greed ya kutajirika haraka .na hapo kwenye $500+ to $88k+ umeni’challenge kitu flan i believe i can too.Ahsante sana

Pages: 1 2 3

2
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x