!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Molly Copy Trading

Risk Disclaimer
By subscribing to our copy trading service, you accept to be a limited partner only to our copy trading service. This means in case we make profits on our accounts, you will also make profits on your account. In case of losses on our accounts you will also lose money on your account.

Subscribing in our copy trading service should be regarded as medium to long term investment. Subscribers should note that Trading in a copy trading service is subjected to market risks and accounts may go up or down depending upon the factors and forces affecting the market. Molly copy trading does not offer refunds, all subscriptions are final. Past performance is not a guarantee to future performance.

Copy Trading

Wote tunafahamu trading inahitaji kujitoa sana haswa kimuda na kijitihada lakini sio kila mtu ana uwezo wa kujitoa, hii ikichangiwa na sababu mbali mbali kama kukosa muda au kutokuwa na uzoefu wakutosha katika trading. Kuachana na hayo yote bado trading inahitaji utulivu wa saikolojia wahali juu kwahiyoo hata yule mtu mwenye muda wa kutosha bado inamuwia ugumu katika hii sehemu ya saikolojia.

Hapa ndipo wazo la molly copy trader lilipo zaliwa. Molly ni nani? Molly ni programed robot nililo li program kufuata Trading criteria zangu mimi hili robot linanisaidia kufanya analysis bila kuchoka na ku execute trades bila uwoga wowote hivyo kuniondelea changaomoto ya matumizi ya muda mrefu kufanya analysis na changamoto ya saikolojia inapukuja kwenye execution.

Kutokana na matokeo mazuri ya Molly watu wengi walianza kulihitaji pia niwape liwasaidie kutengeneza faida sokoni.

Kuna msemo unasema kizuri kula na mwezio, hapo ndipo wazo la copytrading lilipo zaliwa tukaona tumkodishe molly kwa mfumo wa copy trading yaani watu wawe Molly subscribers

katika huu mfumo:

Subscriber ata copy trade zangu moja kwa moja kutoka kwenye Akaunti yetu badala ya kupewa molly the bot directly.

Hapa mteja ataacha all aspects tuzifanye sisi from robot installation, vps rentals na daily trade management. Kazi yake yeye ni ku withdraw faida tu.

Trader atafungua akaunti na kudeposit pesa kwa broker tu
kisha tutahandle trading kwetu kupitia molly the bot na vps yetu. Mteja hatotumiwa copy ya Molly the bot tena.

Mfumo huu mpya utasaidia mteja kupata 💯 same trades
Tunazoingiza kwetu na kwa risk management nzuri kabisa.

Get in touch with us through social media click HERE

Molly Copy Trader

Molly copy trading kwa asilimia kubwa inaendeshwa na molly the bot na sisi hufanya kazi ya kumu maintain tu, Trade nyingi hutokea baada ya bot kufanya analysis yakinifu. Molly anatumia level II aproach na anakesha masaa 24 akitafuta fursa zenye uwezekano mzuri wa kupata faida.

Molly hafanyi HEDGING, MARTINEGALE, hachukui RISK KUBWA na hafanyi OVERTRADING.

Gharama

Gharama yake itakuwa: 550,000 Tzs kwa mwaka

Na pia kutakuwa na 20% profit sharing at the end of a profitable month. Yaani wewe utabakiwa na 80% ya faida zitakazo tengenezwa mwezi husika. Hii profit sharing itaanza baada ya miezi sita ya kwanza kuisha. Hii itakupa nafasi ya kurecover entry fees na vilevile kutengeneza faida kabla ya kuanza profit sharing.

Tuna recommend capital ya $1500 au zaidi kwa matokeo chanya ✔️

Lakini hatujawaacha wateja wadogo, wanafunzi n.k. Minimum kabisa ni
$100 chini ya hapo Hapana 🚫.

Monthly Average Return zikadiriwe kupitia kwenye account yangu ambayo unaweza kuomba investor password na ukakagua mwenyewe.

Nia ni kucopy Molly trades moja kwa moja kutoka kwenye trading account yangu.
If I Make Money, You Make Money Too, if I lose Money, you lose money too.

Transparency is the Future.

Mnyumbuliko wa Trades zitakavyo kuwa hivi.

  • Mteja akijiunga na $1500.
  • Kwa mfano akaunti yangu mimi ina $10,000, nikipita faida ya $1200 mwisho wa mwezi ambayo sawa na 12% .
  • Yeye pia atapata 12% ya mtaji wake ambayo ni sawa na $180. Atalipia 20% ya faida ambayo ni $36 na yeye kubaki na faida ya $144 ambayo ndani ya mwaka ni $1728 plus mtaji wake wa $1500 anakuwa na jumla ya $3228.

Mwaka wapili unao anza atalipia tena Tshs 550,000
Kisha kuendela kama mwaka wa kwanza kushare mothly profit 80/20.

Lot Size

Lot size itakwenda sambamba na mtaji wako. Kwa mfano kwa mwenye mtaji mdogo, lot size yake itakuwa ndogo. Maximum risk per trade ni 2% hivyo lot size yako itakuwa sawa na 2% ya capital yako kwa kila trade.

Tunakushuru sana kwa kuwa nasi pia tuna tegemea utakuwa nasi katika mfumo huu mpya.

Contacts

WhatsApp: +255 715 107 317 or +255 654 433 519

Get in touch with us through social media click HERE

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x