!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Unahitaji Muda Kiasi Gani Kuwa Profitable?Trading ni biashara inayo hitaji full attention yako unatakiwa kuwa na psyshology makini sana, kama utashindwa kwenye hili ni vigumu sana kufanikiwa. Nimekuandalia nyuzi kadhaa ambazo zitakusaidia sana kukushape psychologically.

Ukweli ni kwamba sio kila mtu anaweza kuwa trader kwa hiyo kabla hujaanza kuwekeza pesa na muda wako inabidi ufanye maamuzi ya busara baada ya kujiuliza maswali kama haya. Je hii ni career unayotaka kufanya? Niko tayari kuhustle ili kufanikiwa? N.K kwa sababu ukianza kwa kukurupuka unajiingiza kwenye hatari ya kufanya makosa makubwa na magumu kurekebisha. Kwa mfano mazoea ya kamari au wengine wanaishia njiani wakiwa wamepata hasara kubwa ya muda na pesa.

Ok So How Long?

Kama nilivyokuambia awali, hakuna muda specific na inategemeana na wewe mwenyewe. Kila mtu anauwezo wake binafsi ambao haulingani na mwengine (Unique Abilities) hivyo hakuna muda kamili uliopo kwenye madaftari kwamba baada ya miezi au miaka kadhaa utakuwa umefanikiwa. Nafahamu wewe unayesoma uzi hupendi kusikia majibu kama haya lakini ndio ukweli.

Kuna traders itawachukua miezi 6, wengine mwaka mmoja au hata miaka mitano na wengine wasifanikiwe kabisa. Wengine wana vipaji vya kutrade lakini hii haimaniishi kwamba ukiwa hauna kipaji basi hautafanikiwa hapana, zaidi itakuhutaji uweke nguvu zaidi kuliko yule aliye na kipaji. Trading is more of a mindset thing na mindset inahitaji muda kukaa sawa.

Mwisho

Tamaa itakumaliza sana sokoni kwa sababu itakufanya uwe kama nguruwe kila unapotrade au kuona chart. Trading yako inatakiwa iwe professional kama wall street guys wanavyosema bulls make money, bears make money but pigs get slaughtered. Jaribu kukumbuka haya maneno kila siku unapofanya analysis.

Mtu anapouliza swali kama “Unahitaji Muda Kiasi Gani Kuwa Profitable?” liko very limited na linaathiri uwezo wako wa kufanikiwa kwenye trading ukweli ni kwamba swali kama hili ukichunguza kwa undani utagundua mtu anayeuliza ameanza kuathirika na tatizo la tamaa (Greed).

Ukianza kuona unafocus na lini utakuwa profitable inabidi uache mara moja kwa sababu si kitu kingine zaidi ya tamaa inayoanza kujijenga taratibu. Tamaa hiyo ndio itakayosababisha ufanye makosa mengi sana ikiwemo over risking na over trading, ambayo yatakupeleka kupoteza pesa nyingi sana na zaidi, kukusogeza mbali na doto yako ya kuwa profitable na kugeuka kuwa losing trader. Ili uweze kuwa profitable trader unatakiwa uwekeze nguvu zako kujifunza jinsi ya kutrade vizuri, suala la itakuchukua muda kiasi gani ni irrelevant, if you know how to trade properly then profitability will come sooner than expected.

Nina imani umejifunza mambo ya msingi leo hadi wakati mwengine. Uwe na weekend njema.

Sponsored Learn More

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
hassan
hassan
2 months ago

Very informative. Asante sana kaka Ray!

Joshua
Joshua
1 month ago

Mungu awabariki Sana kwa elimu mnayotupa .Ahsanteni

Pages: 1 2

4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x