
UNAFIKIRIA KUKATA TAMAA TRADING? SOMA HII KWANZA.
Ujasiriamali sio safari ya watu wenye moyo wakukata tamaa kirahisi na sio safari ya watu wasiokuwa na juhudi binafsi, ni safari ya watu wenye juhudi binafsi na safari ya watu wenye moyo mkubwa wakutokukata tamaa.
Kila mtu aliefanikiwa amepitia changamoto ngumu na wanaendelea kuzipitia kwa sababu mafanikio ni safari isiyokuwa na mwisho na kila safari inamabonde na milima, wewe pia hutokuwa watofauti utazipitia izo changamoto hivyo usikate tamaa na mitikisiko midogo midogo.

kama umesoma uzi huu kufikia hapa na bado unawazo lakukata tamaa basi mimi sina chakukwambia zaidi ya maisha haya ya kijasiriamali sio yakila mtu ni kwa ajili ya wachache wenye udhubutu.
Kwa yule ambae amechagua kutokukata tamaa basi nakuomba uendele kusoma uzi huu.
Sponsored Learn More
Dah bro always u’re make me to feel proud to join with a community…..u’re words give me a power of continue hustling in this game inspite am in a circle of lossing money…but still i never give up no matter what….Be blessed bro
Never give up. Thanks for the insight mok
NEVER GIVE UP
NEVER GIVE UP AT ALL …..!!!!!!!!!!!!!!
NEVER GIVE UP