!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

UNAFIKIRIA KUKATA TAMAA TRADING? SOMA HII KWANZA.

Ni rahisi kufikiri kwamba utafanya analysis ya dakika kumi uta bonyeza buy au sell na kisha kutengeneza faida endelevu kila siku, lakini ukweli ni kwamba mambo hayapo hivyo.

Toka nianze forex Trading nimefikiria kukata tamaa mara nyingi sana, Mwaka wa kwanza kila asubuhi nilipo amka nilitaka kukata tamaa ila imani niliokuwa nayo ndiyo ilinifanya kuendelea na biashara hii nilikuwa sitengenezi faida yoyote. Mwaka wa pili hadi kufikia sasa ndiyo natengeneza faida endelevu sokoni lakini pia huwa napitia vipindi vigumu vya drawdown mara kwa mara ambavyo hunipa fikra za kukata tamaa.

Kunamsemo wa kizungu unasema “if it doesn’t kill you it makes you stronger” ina maanisha kwamba kama kitu hakitokuua basi kitakufanya uwe imara zaidi, kwaio wewe pia hakikisha hasara au drawdown ndogondogo hazichomi akaunti yako kabisa hiki ndicho kitu huwa na hakikisha kila mara ninapokuwa kwenye fikra za kukata tamaa huwa naendelea kuamka asubuhi nakutrade miwsho wa siku najikuta zile hasara nazirudisha na kusogea mbele zaidi.

Kuna mwingine ata sema sasa mimi sitengenezi faida kabisa ntafanyaje jiulize ukiacha trading saivi nini kitatokea? Jibu ni kwamba utaendelea kubakia katika hali yako yakimaisha uliyonayo kwa sasa hakuna litakalo badilika. Lakini usipokata tamaa ukaendela kupambana kuna uwezekano ukafanikiwa na kuboresha maisha yako, Je kipi bora kuishi kwa kukubali kufeli au kuishi katika imani yakimafanikio. Ni bora kuishi katika imani yakimafanikio kuliko kukubali kufeli, walioweza ni binadamu kama wewe ni kwamba tu hawakukubali kufeli.

Sponsored Learn More

Subscribe
Notify of
guest
10 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Baraka
Baraka
6 months ago

Dah bro always u’re make me to feel proud to join with a community…..u’re words give me a power of continue hustling in this game inspite am in a circle of lossing money…but still i never give up no matter what….Be blessed bro

Ally
Ally
7 months ago

Never give up. Thanks for the insight mok

Don
Don
7 months ago

NEVER GIVE UP

Ramadhani
Ramadhani
7 months ago

NEVER GIVE UP AT ALL …..!!!!!!!!!!!!!!

Mark
Mark
6 months ago

NEVER GIVE UP

Mark Elias Moshi
Mark Elias Moshi
2 months ago

Never give up

Pages: 1 2 3

10
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x