!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Sababu inayofanya uone trading ni Kipengele kizito.

“Mwanangu forex ni kipengele, yaani mwezi nzima sijalamba pips hata moja…”

Trader 1

“Bro hauna group linalotoa pips za uhakika, nataka kumvunja broker…”

Trader 2

“Huyu broker ni market maker yaani wiki nzima anamendea stoploss zangu na kunitoa… halafu anaenda upande ule ule…”

Trader 1

“Umeona account ya jamaa? Yani hakosei inabidi nifanye mpango nipate kozi yake, atakuwa na madini kuntu sana…”

Trader 2

Haya ni baadhi ya maneno yanayozungumzwa sana kwenye Forex community, pale ambapo trader amepambana sana kupata faida lakini hali imekuwa tete. Stress level zinakuwa zimepanda na akilini mwake hakuna cha ziada anachowaza zaidi ya kumvunja broker. Trader kama huyu hata akibahatika kupata trade nzuri lazima ataharibu tu. You cannot be desperate and profitable at the same time. Trading inakuwa kipengele kizito sana kwa sababu unajaribu kwa nguvu zako zote kutokupata hasara.

Unakuta trader anakesha usiku anafanya analysis zake anachora trendline na support and resistance, anacheki news mtandaoni, anaangalia currency meter, anapitia IG kwa trading guru wake kuona amepost nini. Yani kwa kifupi anachecklist ndefu kama rubani. Pamoja na hayo yote bado anachoma account, anazidi kuwa maskini kwa sababu kila wiki au mwezi anadeposit na mwisho wa siku hakuna returns. Umewahi kujiuliza kwa nini? Kuna vita kubwa sana baina yake yeye na soko kukubali kwamba hasara zitakuwepo tu.

On top of that, unataka kutengeneza faida kubwa kwenye trade moja, Wengine wanadiriki kuambizana kutokana na hii analysis niliyopiga, hii trade ndo yenyewe “Life time opportunity”, so wanaingia mfukoni they invest every penny they have on a single trade only to be disappointed. Do you know why they lost?

The Analogy of trading

Subscribe
Notify of
guest
2 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
ScareFx_dealers
ScareFx_dealers
2 months ago

The Best Certificated Risk Manager in Land of Tanzania

Daniel Daudi Twala
Daniel Daudi Twala
1 month ago

nawaelewa san fxtigers mi

Pages: 1 2

2
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x