!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

SABABU DHAHIRI BIASHARA YA FOREX TRADING NI BORA.

Sponsored Content

Wacha tuwe wakweli, biashara forex trading inaweza kukatisha tamaa wakati mwingine. Hata traders wataalam wenye uzoefu wa miaka wanakuwa kwenye hasara wakati mwingine, kwa hivyo usifadhaike sana ukijikuta uko kwenye hasara baadhi ya muda. Nadhani ni vizuri kujikumbusha nini kilikufanya uwe trader kwanza kabisa, kwakufanya hivi utarudi kwenye sababu ambazo zilikufanya uvutiwe  kuanza hii biashara, zinaweza kuwa zana zenye nguvu ya kukusaidia kuzingatia tena juu ya kile kitakacho kufanya kufanikiwa.

Nakala na video kadhaa kwenye tovuti mbali mbali zimeandika changamoto za biashara ya forex trading, ambazo zinaweza kukukatisha tamaa haswa kenye kipindi ukiwa kwenye hasara. Ndio biashara ni ngumu sote tunatambua hilo, lakini hivyo ndivyo ilivyo kwa kitu chochote maishani chenye mafanikio makubwa na kinachofaa changamoto ni lazima. Kukumbusha kwanini biashara ya forex trading  ni biashara bora na kutokana na ubora wake changamoto ni lazima, ntaorodhesha sababu dhahiri zitakazo kufanya uendelee kupambana bila kukata tamaa, Mambo yalionifanya niendelee kupambana kila siku mpka kufika hapa.

Sababu Dhahiri ya kwanza na ya wazi ni uhuru wa kifedha.

     

Neno “uhuru wa kifedha” linamaanisha “zaidi” ya kuwa na pesa za kutosha, kutokuwa na wasiwasi juu ya bili na shida zingine za kila siku. Bali ni uhuru wa kutengeneza pesa popote ulipo duniani, unachohitaji tu ni kompyuta yako na mtandao.Kuwa na uhuru kama huu ni ndoto ya kila mtu.

 Kuwa trader mwenye mafanikio, sio tu kuwa na uwezo wakupata pesa nyingi bali pia kuwa na uhuru wa muda, kufanya mambo yako, kufurahi na familia pale unapohitaji. Kuwa na uhuru wa kufanya kile unachotaka wakati unataka, na kwa kweli huwezi thaminisha uhuru wa namna hii.

Uwezo wa kubadilika na kuwa mwepesi kwenye Maamuzi na Muda wako.

Uhuru wa muda unaoupata kutokana na kuwa trader ni wakushangaza sana. Unakua sio mtu wa wasiwasi wa kukosa kazi au kuomba ruhusu unapotaka kwenda kutembelea rafiki ndungu wakaribu au kwenda likizo yote unafanya kwa maamuzi yako na muda wako. Kwa kifupi kwangu furaha ya dhati ni kuishi bila ya sheria ya mtu yoyote.

Unauamuzi binafsi ni kiasi gani cha pesa unataka kutengeneza.

Unapokua trader unaamua ni kiasi gani utengeneze na kwa muda gani, kwa siku au kwa wiki au kwa mwezi inategemeana na ratiba yako, na mtaji wako. Kwa mfano mimi mbinu ninayotumia sokoni kutengeneza faida napenedelea kutrade kwa vipindi virefu vya siku 3 mpaka wiki, natumia masaa machache kufanya upembuzi sokoni nakutafuta fursa kisha naacha wazi trade kwa week nzima bila mimi kuwepo wala kuifutalia hii inanirahisishia kufanya shughuli zingine uku nikiendelea kushikilia trades zangu zikiwa kwenye faida bila wasiwasi kabisa mpaka kukomaa kwake, na pia naamua nikiasi gani naweza kuweka sokoni kiasi ambacho hakinipi uoga wowote wakudhubutu na nivyema kiasi ichi kiwe 1% ya pesa zako ulizo nazo Bank. Kamwe usiweke pesa Kwenye Trading ambayo inakutia wasiwasi wakupotea hii itapelekea kuingia uoga wakuthubutu na pia kukuaribu kisaikolojia hata kukosa fursa nzuri sokoni.

Sehemu sawa ya Biashara kwa wote.

Haichukui digrii kutoka chuo kikuu bora kuwa Trader aliyefanikiwa. Inachukua uamuzi tu, uvumilivu na zaidi ya yote, nidhamu ya kazi.Trading kwakweli ni biashara yenye usawa kwa wote. Yeyote anayetaka kuwa trader  anaweza kujifunza kutoka chini. Hakuna mahitaji ya lazima zaidi ya nia ya dhati ya Trader yeye mwenyewe kufanikiwa, Traders wengi bora ulimwenguni hawana elimu rasmi ya vyuo na wameweza kutimiza ndoto zao kupitia trading. kwa hivyo mtu yoyote mwenye nia ya dhati anaweza kufanikiwa kama trader akidhamilia tu.

Trading ni kazi itakayo kufanya kuwa wa msaada zaidi kwa wengine.

 

Kuwa trader mwenye mafanikio inakuweka katika nafasi ya kipekee sana kuweza kusaidia watu wengine. Sio tu kwamba unakuwa na uwezo wakusaidia marafiki na famili kifedha (ambacho ni kitu kizuri sana) lakini pia unakuwa wamsaada kwao, kuwaonyesha njia kwenye bishara hii, kitu ambacho wanaweza kutumia kujenga uhuru wao wa kweli kama wewe. Hili jambo haliwanufaishi wao tu lakini pia wewe itakuletea furaha ya kuridhika kwa ndani pale unapoona umemsaidia mtu kutoka katika hali flani ya kimaisha kwenda nyingine. Hiki kitu ndicho kilichonisukuma kuanza kufundisha mbinu zangu zakutengeneza faida sokoni Maisha hayatimii bila kuwa na uwezo wakusaidia wengine na kufanya mabadiliko kwenye maisha yao iwe kifedha au kifikra, na hilo ndilo kusudi langu.

Napenda kukushukuru kwa kuchukua muda wako kusoma nakala hii na kufikia hapa, nakutakia kila la kheri kwenye kazi zako na maisha yako yakila siku. Kama ungependa kujifunza mbinu na mpango mkakati ninaotumia kwenye trading bonyeza hii linki hapa pia unaweza kuni follow kwenye mitandao yakijamii hapo chini. Mpka siku nyingine tena kwa heri.

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x