!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

NAMNA YA KUTRADE FOREX KAMA UNAANZA NA MTAJI CHINI YA $2500.Kipindi cha Risk adjusted returns

Hiki kipindi tutazingatia haswa kwenye ku control risk na kukuza account pole pole kwa kufanya hivi tutaweza kukuza account kiuhakika zaidi na tutakuwa tunatoa faida mara kwa mara kuendesha maisha yetu ya kila siku.

Hapa utaendelea kutumia mbinu ile ile ya trading ya kutafuta fursa zenye risk reward nzuri isiyopungua 1:10 isipokuwa tu utarisk pesa ndogo kwenye akaunti yako.

Hiki ndicho kitu ninacho fanya mimi kwa sasa na control risk na kutengeneza kipato cha uhakika. Kila trade si ruhusu risk zaidi ya asilimia 3% ya akaunti atakama kukiwa na fursa nzuri kiasi gani.

Akaunti yangu inakuwa kipole pole lakini kwa uhakika na ndicho utachokifanya pia ukisha pata mtaji wako wa uhakika.

kwa mwezi unapata asilimia 8%-30% ambayo kwa mtaji wa $4000 itakuwa ni $320 mpaka $1200 itategemeana na hali ya soko kwa mwezi husika.

ukipata faida ya $1200 unaweza ukatoa kiasi na kilichobaki ukaacha kwenye akaunti ili iendelee kukuwa bila kusahau pia kuna miezi itakuja faida ndogo hivyo utafidia kwenye miezi mizuri ya nyuma.

Katazo

Kuna wachache wata jaribu kuendelea kutumia mbinu ya kipindi cha high return hata baada ya kupata mtaji mkubwa kwa kigezo cha kukuza akaunti haraka hawa nakuhakikishia watadondoka vibaya sana mbeleni mtaji unavyozidi kuwa mkubwa ukichukua risk kubwa ikatokea kuwa hasara utapata stress itakayofanya upoteze mtaji wote kutokana na pressure utakayopata. Hasara ya $10 sio sawa na hasara ya $4000 kisaikolojia hivyo kuwa makini sana unapopata mtaji mkubwa au unapoanza na mtaji mkubwa.

Na kwa wale wanaonza Forex na mtaji zaidi ya $2500 nyie mpo kwenye kundi la wenye bahati kwa kuwa na mtaji mzuri mwanzoni hivyo msichukue risk kubwa kabisa trade kwa kufuta mbinu ya pili ya adjusted risk returns kuza mtaji wako pole pole kwa uhakika.

HITIMISHO

Ni wajibu kwa kila forex trader kutafuta mtaji wa kutosha kuanza trading ili kuepukana na njia za hatari kama hii ya kipindi cha high retuns. Kama huna jinsi kabisa unaweza chagua kutumia njia ya high returns au kutunza pesa zako mpaka zifikie mtaji wakutosha kuanza forex trading. Kwenye uzi huu nimetoa njia niliyo tumia kukuza mtaji wangu haraka kwa sababu najua wapo watu ambao hawana namna zaidi ya kutumia leverage na risk kubwa. Naomba nikwambi njia hii sio rahisi nilianguka mara sita kabla ya kupata mbili mfululizo za kunifikisha kwenye mtaji wakujitosheza lakini hasara sita za $10 sio kitu kama utaweza kufika mtaji wa $4000 na zaidi kama utafanikiwa. Naomba ieleweke njia ya high returns ni hatari lakini kama msemo unavyoenda “the higher the risk the higher the returns” hadi siku nyingine tena nakutakia kila lakheri katika trading na shughuli zako za kila siku.

Subscribe
Notify of
guest
8 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Ally
Ally
3 months ago

That’s mok umeongea kitu muhimu sana. Be blessed

Joshua
Joshua
3 months ago

Ahsante sana kwa kutuongezea maarifa kupitia threads mbalimbali Mungu awatunze

Kidonation32
Kidonation32
3 months ago

Shukran Kwa elimu hii

Michael Chogo
Michael Chogo
3 months ago

Thank you

Pages: 1 2 3

8
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x