!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

NAMNA YA KUTRADE FOREX KAMA UNAANZA NA MTAJI CHINI YA $2500.

Kanusho: Hali ya kiuchumi/kifedha ya msomaji haijazingatiwa, kilichoandikwa kwenye nakala hii kamwe isichukuliwe kama ushauri wa uwekezaji au fursa ya uwekezaji bali itumike kama elimu tu na matokeo yaliopita hayakuhakikishii matokeo yajayo

Kwa Forex trader anayeishi Tanzania na anategemea forex iwe biashara pekee itakayoendesha maisha yake ya kila siku yampasa awe na sio chini ya $2500 kama mtaji wake wakuanzia.

Kwa nini kiasi chote hiki?

Forex trading kama ninavyo ainishaga kwenye uzi zingine zote nilizowai kuandika ni lazima uwe na mtaji utakao pambana na vipindi vya hasara na faida ili mwisho wa siku uione io faida.

ukiwa na mtaji wa $2500 au zaidi utakua una risk sio chini ya $50 kwenye kila trade, nakupata faida ya $500 au zaidi kwa kila trade, ukichukua faida na hasara utajikuta unabakia na sio chini ya $300 kwa mwezi. kwa kuanzia tu $300 ni pesa ambayo watanzania wengi wanaweza wakaendesha nayo maisha ya kila siku.

Nafanyaje kama sina mtaji wa $2500 au zaidi?

kama unaanza na mtaji mdogo huu uzi upo kwa ajili yako, lazima utrade kwa kuzingatia vipindi viwili vikuu.

Subscribe
Notify of
guest
9 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Ally
Ally
8 months ago

That’s mok umeongea kitu muhimu sana. Be blessed

Joshua
Joshua
8 months ago

Ahsante sana kwa kutuongezea maarifa kupitia threads mbalimbali Mungu awatunze

Kidonation32
Kidonation32
8 months ago

Shukran Kwa elimu hii

Michael Chogo
Michael Chogo
8 months ago

Thank you

scars_fx_dealers
scars_fx_dealers
2 months ago

daaah nawish kama ungeendelea kaka part4,part 4 linii?

Pages: 1 2 3

9
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x