!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

MBINU BORA YA KUWEKA STOP LOSS ORDER.Vile vile kuna pattern za muda mrefu ambazo hutengenezwa na candlestick nyingi. Tuangalie mfano huu wa traingle

mfano mwingine ni flat pattern ya range stoploss hukaa juu ya range husika kama mfamo wa chini hapa.

How to set your stop-loss and take profit targets

Mifano ya trading pattern ipo mingi sana ningeweza kujaza kurasa 50 hapa lakini zote muundo wake ni stoploss hukaa chini au juu ya pattern husika.

HITIMISHO

Mimi nimewai kutumia njia zote mbili za kuweka stoploss katika vipindi tofauti vya safari yangu ya trading lakini nimekuja kufikia uamuzi wakutulia na njia moja tu ambayo ni yakuweka stoploss kupitia market volatility hii huniepusha na hasara zitokanazo na mifumuko wa bei ya ghafla (whipsaws.

Mfumo wa kutumia price chart ni mfumo mgando haubadiliki lakini masoko hubadilika kila siku kwahiyo unapotumia market volatity itakusaidia kubadilika na mifumuko ya bei inavyokwenda. Ninapo trade timeframe yoyote na angalia mfumuko wa bei unakwendaje kupitia ATR ya timeframe husika kisha naweka stoploss yangu kama inavyo onesha.

Kama utapendelea sana kutumia njia ya price chart basi vilevile usisahau kuchungulia market volatility inasema nini ili kuepusha kutolewa na hasara hovyohovyo.

Shukrani sana kwa uwepo wako usisahau kucomment mtazamo wako hapa chini ningependa kusikia kutoka kwako vilevile share na trader wenzako nao wapate kunufaika na uzi huu, hadi siku nyingine tena nakutakia kila lakheri kwenye trading yako kwakheri.

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
WAZIRI
WAZIRI
3 months ago

Ebana shukrani sana kwa elimu muhimu unayotupatia kaka.
Sasa kwa trader akitaka stoploss yake isizidi pips 25…ATR inabidi isome ngapi ?

Pages: 1 2 3

3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x