!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

KWA NINI STRATEGY MAARUFU HAZIFANYI KAZI?Usichanganyikiwe

Autumn 2017 – It's driving me nuts! – Our English blog

Chakufanya soma vitabu vya trading au jifunze kupitia trader anaetengeneza faida endelevu sokoni kisha anza kwa kutrade hizo mbinu ulizojifunza. lakini kamwe usiridhike weka bidii yakibunifu kila trade unayochukuwa jaribu kuielewa kiundani weka record ya kila trade kupitia trading journal yako ili uweze kuona ni wapi unapata hasara zaidi na wapi unapata faida zaidi kisha shikilia hapo panapokupa faida siku hadi siku endelea kuiboeresha mbinu yako kiubunifu zaidi kwenye trading hakuna “njia moja tu inayoweza kumpa kila mtu faida” trading inatofautiana kwa kila mtu.

Mfano mimi nimepitia katika njia tofauti tofauti za trading mpaka kufikia hapa yaani nilikuwa naboresha mbinu yangu yakuingia sokoni siku hadi siku hadi kufikia sasa nasimamia kutrade forex pair moja tu.

HITIMISHO

Unaweza ukatrade na mbinu moja kwa miaka mingi ilimradi tu haija fikia ukomo wake sokoni, Ukomo huu unafikia iwapo mbinu hiyo itatumika na watu wengi sana hapa naongelea mamilioni ya watu au na watu wachache wenye mabillioni ya dolla.

kwahiyo ondoa dhana ya kufikiri kuwa ukiwa na mbinu yako nzuri ukamsaidia rafiki yako au watu wengine 50 wenye mitaji midogo mbinu yako itafikia ukomo wakutengeneza faida sokoni.

Mfano miaka ya 1970 mpaka 1990 trading legends wengi walikuwa wakitumia mbinu ya “trend following” Richard dennis aliweza kukuza $400 mpka $150,000,000 pia wanafunzi wake aliwafundisha wakafanya maajabu makubwa sokoni kupitia njia hii hii ya “trend following” lakini ukiangalia kundi hili kwa sasa hawatumii mbinu hiyo na wengine waliacha kutrade kabisa baada ya mbinu hiyo kufikia ukomo wa kutengeneza faida. Mbinu hii ilikuja kuwa maarufu sana na hawa wanafunzi walianza kuchukuwa mabillioni kutoka kwa wawekezaji na kisha kuifanya hii mbinu kufikia ukomo wake kutokana na mvutano wa kimasoko.

Mambo muhimu ya kuondoka nayo kutoka kwenye uzi huu

  • Ubunifu kwenye trading ni jambo la muhimu sana
  • Hakuna njia moja ya kutrade kwa kila mtu
  • Weka record ya trade zako kila unapo trade
  • Kila strategy inaukomo wake wakutengeneza faida
  • Usiache kujifunza kupitia record zako za trading kamwe ndio msingi wamafanikio.

kufikia hapa ndiyo mwisho wa uzi huu nipende kutoa shukrani za dhati kwa kuendelea kuifanya tovuti hii iwasaidia traders wengi zaidi. Nakuomba Utoe maoni yako hapa chini ningependa kusikia kutoka kwako na pia usiache kushare tovuti hii kwa traders wengine ili pia waweze kunufaika na uzi hizi. Hadi Ijumaa nyingine tena kwakheri 👋.

Sponsored Learn More

Subscribe
Notify of
guest
12 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Brian
Brian
2 months ago

Naamini hii mala yakwanza nime fumbua machoyangu daaaa! Shuklan.

Zephania enos
Zephania enos
2 months ago

Naomb mafunzo zaidi

Manasejr
Manasejr
2 months ago

Kuna mambo mazuri na matamu unaongea, big up bro

Mr.tarq
Mr.tarq
2 months ago

Brother nisaidie tafadhal ni juwe hii biashara nakuomba

ray_heriel
ray_heriel
2 months ago

Word Brother.

baraka abdalah
baraka abdalah
2 months ago

Asante sana bro kwa darasa zuri….nlikua naomba kuuliza we kn ww hua unatumia mbinu gan inayofanya uwe vizur sokon

Pages: 1 2 3

12
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x