!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

KWA NINI STRATEGY MAARUFU HAZIFANYI KAZI?

Jiulizie hivi kila mtanzania angeweza kwenda nje ya nchi kununua simu na vifaa vyake kwa bei ya jumla, Je kungekuwa na fursa ya biashara ya kwenda nje ya nchi kununua simu na vifaa vyake kwa bei ya jumla na kisha kuuza nchini kwa bei ya rejareja?

Forex traders wote wanapo tumia mbinu moja ya kutafuta fursa sokoni ni sawa na wa tanzania wote tungeweza kwenda nje ya nchi kununua simu na vifaa vyake kwa bei ya jumla kinachotokea ni kwamba kunakuwa hakuna fursa tena ya biashara.

Utajiuliza mbinu ipi ni maarufu?

Kama umeisoma sehemu mtandaoni au kwenye kitabu basi kwa asilimia 90% hiyo ni mbinu maarufu ya trading. Katika miaka yangu yote minne ya trading sijawai kukutana na trader anetengeneza faida endelevu sokoni na strategy hizi maarufu.

Traders wote waliofanikiwa katika trading ukiwachukuwa ukawaweka sehemu moja utagundua kila mmoja ana mbinu yakipekee ya trading.

Tuchukuwe mfano Mr.donald ana strategy yake inaitwa “buy low sell high” anachokifanya anatafuta fursa zakununua bei ikiwa chini na kuuza bei ikiwa juu. Jumatatu asubuhi GBPUSD ipo kwenye bei ya 1.30383 Mr.donald akaona kuna fursa ya buy low kwenye bei ya 1.30000 sasa pata picha kila trader akaona fursa hii! Kila trader atajaribu kununua aidha mapema au kwakuweka order yakununua kwenye bei hiyo ya kama ya mr.donald kwakufanya hivyo watatengeneza demand ya hali ya juu na bei itaruka juu mapema zaidi kabla hata ya bei hiyo ya chini kufikiwa. Hapa Mr. donald atakuwa ameshaikosa hiyo fursa.

Fursa itabaki kuwa fursa mpaka pale kila mtu atakapongundua ni fursa.

Sasa wengi watajiuliza nitajifunza vipi forex kama nikisoma vitabu maarufu ntakuwa na trade strategy maarufu ambazo kila trader anatumia.

Sponsored Learn More

Subscribe
Notify of
guest
12 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Brian
Brian
7 months ago

Naamini hii mala yakwanza nime fumbua machoyangu daaaa! Shuklan.

Zephania enos
Zephania enos
7 months ago

Naomb mafunzo zaidi

Manasejr
Manasejr
7 months ago

Kuna mambo mazuri na matamu unaongea, big up bro

Mr.tarq
Mr.tarq
7 months ago

Brother nisaidie tafadhal ni juwe hii biashara nakuomba

ray_heriel
ray_heriel
7 months ago

Word Brother.

baraka abdalah
baraka abdalah
7 months ago

Asante sana bro kwa darasa zuri….nlikua naomba kuuliza we kn ww hua unatumia mbinu gan inayofanya uwe vizur sokon

Pages: 1 2 3

12
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x