!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

KWA NINI NA TRADE FOREX PAIR MOJA TU.Forex pairs zote zina correlate

Forex correlation ni mahusiano chanya na hasi ya forex currency pairs. Forex pairs zinapokua na mahusiano chanya ni yale ambayo forex pair zina tembea kuelekea upande mmoja mfano EURUSD na GBPUSD zina mahusiano chanya EURUSD ikipanda basi pia GBPUSD itapanda kwa kiasi fulani. Forex pairs zinapokuwa na mahusiano hasi basi hutembea pande mbili tofauti mfano EURUSD na USDCHF zinatembea kuelekea pande mbili tofauti moja ikiende juu nyingine huenda chini kwa kiasi fulani.

Kila forex pair ina correlate na nyingine aidha kwa mahusiano chanya au hasi kwa asilimia flani hakuna pair ambayo hai correlate na nyingine hata kwa asilimia 1%. Kabla sijagundua hili nilidhani forex pairs zina correlate zikiwa zimeundwa na currency zinazofanana tu mfano EURUSD na NZDUSD zimeundwa na USD lakini sio kweli kila forex pair ina correlate na nyingine kwa asilimia flani chanya au hasi.

Mfano angalia jinsi EUR/USD inavyo correlate na forex pairs ambazo haziundwi na EUR au USD ,

Tunagundua kwamba ni makosa kubuy EURUSD na Kubuy AUNZD kwa wakati mmoja tukijua ni trade mbili tofauti. Kama trader akifanya hivi itakuwa hana tofati na yule aliye buy EURUSD mara mbili. Hiki kitendo ukikifanya bila kujua ni risk kubwa maana unakuwa umechukua risk mara mbili.

Ukibuy EURUSD na Ku sell AUDNZD ni sawa na hakuna ulichofanya yaani hutapa faida wala hasara kwa maana zinatembea katika uelekeo mmoja EURUSD ikienda juu basi pia AUDNZD itaenda juu naku futa faida zako za EURUSD ni sawa na mtu aliebuy EURUSD na kusell EURUSD kwa wkati mmoja hakuna faida hapa.

Hivyo hakuna maana ya kutrade pair tofauti tofauti kwa sababu zote zina uwiano kwa asilimia fulani uwiano wa hasi au chanya.

Ni rahisi kubobea kutrade pair moja kuliko kubobea kutrade pair nyingi.

Ili uweze kutengeneza faida endelevu lazima uweze kuwa mbobezi wa pair moja ya forex zikishakuwa nyingi inakuwa ni ngumu sana kuwa mbobezi wa zote kwa sababu ya kukosa uzingatiaji.

Mimi kwangu nazingatia kuitrade GBPUSD tu! Kwakufanya hivi nimeweza kujua muda gani niingie sokoni kuepuka kutolewa na stoploss yangu na pia kuijua mzunguko wake wote yaani inavyotembea. Kujua vizuri forex pair moja itakupa manufaa yakutengeneza faida endelevu sokoni.

Kutrade pair moja kunakupunguzia drawdown sokoni.

Drawdown ni kitendo cha wewe kupata hasara mfululizo sokoni, drawdown hupimwa kwa asilimia ya kiasi cha mtaji ulicho kuwa nacho awali kabla ya hasara ukilinganisha na kiasi cha mtaji kilichobaki sasa baada ya hasara. Tukitoa bahati nasibu mara nyingi Ukiwa una trade forex pair tofauti tofauti kwa wakati mmoja ukipata hasara kwenye moja basi zote zilizobaki zitakupa hasara pia. mfano mimi awali kabla ya kuanza mfumo wa kuzingatia forex pair moja tu nilikua napitia hasara 3 mpaka 11 mfululizo lakini kwa sasa zinacheza kwenye 1 mpaka 3.

Subscribe
Notify of
guest
14 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Goodnardo Elioth Jr
Goodnardo Elioth Jr
4 months ago

I got you Brother working on it now….!!

Goodnardo Elioth Jr
Goodnardo Elioth Jr
4 months ago

Elaborated Smoothly….️

Joshua
Joshua
4 months ago

Shukrani kwa Maarifa

Kidonation32
Kidonation32
4 months ago

Iko pouw xna bro

Constantine kalangi
Constantine kalangi
3 months ago

Ni muda Gan gbp/usd uki I trade inakuwa hasaraa zaidii nilikuwa naomba ufafanuzi hapo na ni muda gani uki trade inakupa faida, muda gani has a ni mzuri

Ramadhani
Ramadhani
3 months ago

Too late to read the thread, but i got the entire point!! added it to my Brain!! Thanks Master

Pili Nkumbi
Pili Nkumbi
2 months ago

Shukrani sana,hakika nimejifunza kitu hapa. Ubarikiwe

Pages: 1 2 3

14
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x