!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

KWA NINI NA TRADE FOREX PAIR MOJA TU.

Kama umekuwa ukifuatilia kwa ukaribu kurasa zangu za mitandao ya kijamii hivi karibuni, utagunduwa nimekuwa niki trade forex pair moja tu.

Unaweza ukajiuliza kwa nini nafanya hivi kwa sasa! Nimekuwa nikitrade forex kwa takribani miaka minne na nusu. Mwaka wa kwanza nilipoanza trading kwa kweli sikuwa na strategy moja nilikuwa najifunza leo hiki kesho kile hadi kufikia mwaka wa pili ndiyo safari yangu ilianza rasmi.

Mwaka 2017 hapa nilikua nimeshajifunza kwa undani price action na Elliott wave trading kwa kusoma vitabu mbali mbali vilivyoandikwa na gurus tofauti wa forex. Kupitia hivi vitabu na uzoefu niliopata mwaka wa kwanza wa trading niliweza kujenga mfumo wangu wa trading (strategy) ambao uliwiana na tabia yangu.

Nilijitahidi kufuata mfumo wangu wa trading siku hadi siku na kila siku nikawa najifunza vitu fulani kupitia mfumo wangu wa trading kwa mfano kitu kikuu nilichojifunza 2017 ni kuacha kutrade cross na exotic forex pair na kufocus na major currency pair pekee. Sisemi kwamba kutrade cross na exotic forex pairs ni vibaya lakini mimi na stategy yangu niligundua hasara nyingi zinatokea huko.

2018 ilipoanza nilitrade major fx currency pairs tu awali mwaka uliopita win ratio yangu ilikua kwa wastani ni 34% lakini baada ya kuanza kufanya hivi kufikia mwisho wa mwaka 2018 win ratio yangu ilipanda kufikia asilimia 52%.

2019 niliendelea kutrade forex major curreny pairs tu lakini ikafika sehemu nikashtuka kwamba muda wa hasara zinafuatana nyingi zaidi kuliko faida nikajiuliza kwanini? Baada ya kufanya uchunguzi nikagundua vitu ambavyo vilinifanya nibaki niki trade forex pair moja tu kuanzia mwaka huu 2020 ambapo win ratio yangu imeongezeka kufika 87% mpaka sasa.

Leo nitakuelezea mambo niliyoyagundua ya kunifanya ni baki nikitrade forex pair moja tu:

Subscribe
Notify of
guest
14 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Goodnardo Elioth Jr
Goodnardo Elioth Jr
8 months ago

I got you Brother working on it now….!!

Goodnardo Elioth Jr
Goodnardo Elioth Jr
8 months ago

Elaborated Smoothly….️

Joshua
Joshua
8 months ago

Shukrani kwa Maarifa

Kidonation32
Kidonation32
8 months ago

Iko pouw xna bro

Constantine kalangi
Constantine kalangi
8 months ago

Ni muda Gan gbp/usd uki I trade inakuwa hasaraa zaidii nilikuwa naomba ufafanuzi hapo na ni muda gani uki trade inakupa faida, muda gani has a ni mzuri

Ramadhani
Ramadhani
8 months ago

Too late to read the thread, but i got the entire point!! added it to my Brain!! Thanks Master

Pili Nkumbi
Pili Nkumbi
7 months ago

Shukrani sana,hakika nimejifunza kitu hapa. Ubarikiwe

Pages: 1 2 3

14
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x