!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Jinsi Ya Kupata Sniper Entries.3. Kuwa Mvumilivu

Kuna traders wengine hawana kabisa ule utulivu, wengi wana papara sana pale ambapo trade inakaribia kufika kwenye kill zone, trader anahisi kama ataachwa na inapelekea kuingia at market. Sikiliza, naelewa trading ni ngumu especially kwenye mind games lakini uvumilivu ndio kila kitu if the market is going down, it will go down. Unapojaribu kufukuzia soko mwisho wake sio mzuri zaidi ya kutriggure other psychological endpoints na kufanya makosa makubwa zaidi. Sit tight tulia na weka order zako then forget. Tumia application ya call level kukumbusha endapo price itafika kwenye entry price yako.

4. Fanya Backtesting Mara Kwa Mara

Ukiwa mvivu wa kufanya back testing huwezi kupata ile confidence ambayo experienced traders wanayo. Backtesting ina faida nyingi sana, kuna msemo mmoja unasema “If You Fail Fail Fast, Don’t Waste Time” Unapofanya backtesting unapata matokeo ya strategy yako. Ukiona strategy yako haiwezi kukupa sniper entries basi unaweza ukaachana nayo kuliko kupoteza muda kuzitafuta kwa bahati nasibu. Nafahamu backtesting is time consuming and boring process lakini ina value kubwa sana haswa kwenye kuokoa muda na kusonga mbele.

Backtesting kama nilivyosema awali inaboost confidence level yako kwenye strategy na kukufanya usikate tamaa kirahisi pale ambapo mambo hayaendi sawa. Muda mwengine sniper entry hazipatikani hivyo kwa watu wengi ni rahisi kukata tamaa na kuanza kutafuta strategy mpya kwa hiyo backtesting itakusaidia sana kuepukana na changamoto hii.

Different Environment’s

Sasa tuangalie mazingira tofauti tofauti hizi setup zetu zinavyoweza kutokea na jinsi tunavyoweza kutake advantage. Bearish side nimeshaelezea hapo juu so tuangalie kwenye:-

Bullish Side

Toka mwanzoni nimekuwa nikitumia mifano kwenye BEAR market, je kama tuko kwenye BULLISH market hali inakuwaje? Ondoa shaka concept ni ile ile but this time around tunatumia bullish pin bar kama signal yetu, bullish trend line pamoja na support and resistance level.

Lazima tuwe kwenye bullish trend ili tuweze kupata enviroment kama hii, kumbuka ni lazima utumie pending order kupata sniper entries.

Kama ni bearish market utatumia SELL LIMIT order na kwenye bull market utatumie BUY LIMIT order.

Execution Timeframe

Kupata entry nzuri ni vyema ukafocus na h4 na h1 timeframe. Binafsi nazitumia timeframe hizi endapo nitatumia hii strategy. Unaweza ukashuka hadi 30M kama uko comfortable with the speed.

Trend Confirmation

First, ili uweze kuconfirm pair imeanza kutrend lazima kuwe na the first and second touch kwenye trendline kama nlivyosema hapo awali. Pili, this time around nakuongezea a tool ambayo iko very efficient kwenye kuonyesha trending currencies.

Piptwitz Currency Strength Meter

This tool inapatikana piptwitz.com na unaweza kuitumia kugundua trending pairs. Hii inatakiwa iwe ya mwisho kabisa na sio compulsory kwa sababu haitakupa data za pair zote bali ni za MAJOR PAIRS only.

Lakini inaweza kukusaidia kupata some extra confirmation, kwa mfano kama setup yako ipo kwenye USDCAD na meter inakuonyesha basi hiyo trade ina probability kubwa sana ya kufanikiwa.

Conclusion

Unaweza kudhani ili kupata sniper entries unahitaji mambo mengi lakini si kweli. Siri moja ya Forex ni kutokuwa na mambo mengi (KISS) Keep it Simple Stupid. Currently natumia very simple strategies and I am still making profits. As you mature utajifunza kwamba trading is not about being right all the time but making money doesn’t matter whether it’s long term or short term.

Utakapoanza kupata sniper entries kuna jambo moja linaweza kutokea ambalo ni over confidence. Over confidence inaweza ikakufanya uchome account zako haraka sana so jifunze kucontrol emotions zako ikiwemo ego, kuwa humble and always remain neutral.

Nina imani umejifunza kitu leo. I am looking forward for you to make your first sniper entry, until next Friday have a great weekend. ✌

Additional Resources

Kuna traders ambao hawatopenda kutumia pinbars kama signal criteria kwa hiyo kuna resources chache nimeongeza ambazo zitakusaidia kuwa na wide range of options kama signal.

Sponsored Learn More

Subscribe
Notify of
guest
6 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Nathan
Nathan
2 months ago

Mad respect brother. Nice read

mary
mary
2 months ago

Thank you, Ubarikiwe

Nwaka
Nwaka
2 months ago

Tisha sanaaa

Pages: 1 2

6
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x