!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Jinsi Ya Kumkagua Online Forex Broker. (Muhimu Sana)

Kanusho: Hali ya kiuchumi/kifedha ya msomaji haijazingatiwa, kilichoandikwa kwenye nakala hii kamwe isichukuliwe kama ushauri wa uwekezaji au fursa ya uwekezaji bali itumike kama elimu tu na matokeo yaliopita hayakuhakikishii matokeo yajayo.

Somo la leo litakuwa fupi sana na pengine muhimu kuliko yote hasa pale unapoanza trading. Wote tunafahamu kwamba broker ana mchango mkubwa sana kwenye mafanikio yako. Matatizo mengi yanayowatokea retail traders mtandaoni broker anahusishwa sana pia kwenye michakato hiyo.

Broker wana janja janja nyingi sana ambazo zinaweza zikakukwamisha kufanikiwa. Kumbuka baadhi ya hizi janja janja ni ruksa kisheria na hautaweza kumshtaki kwa mfano market making imekuwa ikilalamikiwa sana ila kwa upande wa broker ni business model nzuri sana na wanprofit sana kwa traders wengi wanaochoma pesa zao. Leo hatutaongelea haya maswala ya market making, A book na B book. Nitaandika uzi maalum kwa ajili yake siku nyengine.

Haya ni mambo machache ambayo broker anaweza kukufanyia na ukakosa la kufanya hata kama si halali kisheria. Tambua kwamba hapa nchini hakuna online forex broker na watu wengi hutumia brokers kutoka nje ya nchi yaani ofshore brokers, mbaya zaidi broker wengi hawako regulated na mamlaka zenye uthibiti mkali kama FCA ya UK. Hii ni mamlaka yenye uthibiti mkali sana na si rahisi kufanyiwa figisu kama

  1. kutolipwa pesa zako hata kama umepata faida.
  2. Kuchelewesha Withdraw zaidi ya siku 3.
  3. Kupanuliwa spread bila sababu ya msingi.
  4. Kuchezewa kwa mt4/mt5 platform.
  5. Kupewa Deposit bonus maradufu hadi asilimia 300.
  6. Kupewa leverage isiyo na kikomo yaani unlimited.
  7. Kukubaliwa kudeposit bila kufanya verification.
  8. Hakuna customer support ya uhakika.

Naweza kuandika mengi zaidi.

Sasa, Yote haya hayaruhusiwi na ntakupa mfano mmoja wa broker wa Afrika Kusini aitwaye JP markets ambaye leseni yake imefutwa kutokana na kufanya michezo kama hii kwa wateja wake. Taarifa iliyotolewa kwenye tovuti ya citizen.co.za Soma HAPA

Soma zaidi taarifa hii hapa.

Sasa huyo ni mmoja ila wapo wengi sana na vile n idadi kubwa ya online retail traders wameingia kwenye haya matatizo na wamekosa pa kuanzia kwa sababu

  1. Broker ni wa nje ya nchi
  2. Gharama za kufungua kesi nje ya nchi kuishtaki brokerage ni kubwa sana na huenda usifanikiwe.

Kumkagua Broker

Kwanza kabisa dalili za kwanza yaani red flags nimezitaja hapo juu

Subscribe
Notify of
guest
6 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Goodnardo Elioth Jr
Goodnardo Elioth Jr
10 months ago

Self evolving in carrier….

setisfx
setisfx
10 months ago

Kaka asante sana..

KidoNation32
KidoNation32
10 months ago

Imesomeka

Pages: 1 2

6
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x