!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Jinsi Ya Kufanya Deposit Kwenye Forex Account Yako.Skrill

Kama unatumia skrill basi baada ya kujaza kiasi unachotaka kuweka, hutapelekwa kwenye ile page ya card pay ila

Utapelekwa skrill moja kwa moja. Hakikisha ipo balance ya $100 au zaidi kabla ya kufanya deposit. Utaweka password au pin kisha utafanya authorization kupitia email au app yao then utakuwa umeshakamilisha muamala.

Usitumie Mpesa Mastercard Kudeposit Skrill

Watu wengi wamekuwa wakijaribu kutumia mpesa master card kufanya deposit skrill lakini wanashindwa kupeleka pesa hizo kwa broker. Ishu ni kwamba skrill wanagoma kufanya hivo na utapewa notice kama hiyo hapo juu, skrill wameweka forex trading kwenye kundi la gambling sites kwa hiyo hadi watakapo badilisha. Hata ukimtumia mtu mwengine na yeye hataweza kufanya hivyo so tumia visa card tu kufanya deposit skrill kisha ndo upeleke pesa hizo kwa broker.

Final Note

Watu wengi wamekuwa wakijaribu kudeposit na mpesa safaricom, Inaweza kuwa njia iliyopo kwa sasa kwa mabroker kama templerfx lakini kuna hatari kubwa sana ya kupoteza pesa katika miamala. Vile vile sio broker aliyekuwa na regulations stable. Chochote kinaweza kutokea na ukawa huna mahali pa kulaumu. Always think twice before doing this.

Natumaini umejifunza jambo. Kama utapata usumbufu wowote unaweza kuacha comment na tutakujibu kwa wakati. Asante!

Sponsored Learn More

Ni follow kwenye Mtandao wa Piptwitz.com Kama @ray_heriel, Huwa na share tips mbali mbali kuhusu trading kila siku.

Subscribe
Notify of
guest
9 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
King bills
King bills
4 months ago

Mpesa mastercard haipokei pesa na tickmill wanasema kuwa wanaprocess withdrawal kwa njia uliyodepositia.Sasa for case ya mpesa mastercard inakuaje sasa.?

Justin
Justin
4 months ago

Nina account ABSA na card yangu ni Visa card. Je km sijaungwa na online payment naweza nikaenda kuwaomba bank waniunganishie….?

Baraka
Baraka
4 months ago

Je kitambulisho cha kura wanaruhusu kufanya verification ya acc

samuel Morris
samuel Morris
3 months ago

yeah!

God
God
2 months ago

Et visa account ni lazima uwe na passport ya kusfiria

Pages: 1 2 3

9
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x