!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Jinsi Ya Kufanya Deposit Kwenye Forex Account Yako.Bank Gani Nzuri?

Kuhusu suala la bank, ni vizuri ukachagua bank ambazo zinatoa huduma ya online banking pamoja na customer care masaa 24. Vile vile bank inayotoa huduma ya 3d secure visa card. 3d secure visa card ni zile card ambazo zitakulazimu ujaze One time password (OTP) kila unapofanya online transaction, OTP hiyo huja kwa njia ya sms au email kila unapotaka kufanya deposit. Bank kama ABSA, FNB, NA STANDARD CHARTERED ni nzuri ukishapewa visa card yako omba waruhusu online banking. Kama unayo card yako sasa unaweza kufanya deposit.

Deposit

Login kwenye tickmill members area na hakikisha unaona account yako kama ilivyo kwenye picha chini. Kama una account nyingi zitaonekana list of account hapo kwa hiyo usiwe na shaka, wewe chagua account unayotaka kuweka hela kisha songa kwenye

Deposit button na utapelekwa kwenye page hii.

Kama unatumia visa au master card basi bonyeza option namba 2. Vile vile utaona funding time kwenye column ya tatu ambayo imeandikwa instant 24/7. Maana yake ni kwamba ukishaweka pesa basi utaiona kwenye metatrader yako hapo hapo.

Deposit Amount

Hapa utaweka kiasi unachodeposit na kwa mfano wetu ni $100.

Kisha utakubaliana na terms and conditions (Muhimu Kuchukua muda kuzisoma) kabla ya kubonyeza SUBMIT.

Baada ya kubonyeza SUBMIT, utapelekwa kwenye page hii kukamilisha muamala.

Weka card number yako kwa usahihi, kisha weka na jina na mmiliki wa card, expiry month na mwaka. Kwenye kipengele cha CVV2/CVC2 au CAV2 jaza namba tatu za mwisho zilizoandikwa nyuma ya card yako.

Baada ya hapo kama unapesa bank basi hakikisha ni kiwango sahihi angalia exchange rate kisha weka kiasi hicho bank. Kama kwa namna yoyote ile pesa haitatosha basi muamala utakuwa declined na bank yako so hakisha balance ni ya kutosha.

Subscribe
Notify of
guest
9 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
King bills
King bills
4 months ago

Mpesa mastercard haipokei pesa na tickmill wanasema kuwa wanaprocess withdrawal kwa njia uliyodepositia.Sasa for case ya mpesa mastercard inakuaje sasa.?

Justin
Justin
4 months ago

Nina account ABSA na card yangu ni Visa card. Je km sijaungwa na online payment naweza nikaenda kuwaomba bank waniunganishie….?

Baraka
Baraka
4 months ago

Je kitambulisho cha kura wanaruhusu kufanya verification ya acc

samuel Morris
samuel Morris
3 months ago

yeah!

God
God
2 months ago

Et visa account ni lazima uwe na passport ya kusfiria

Pages: 1 2 3

9
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x