!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Jinsi Ya Kufanya Deposit Kwenye Forex Account Yako.

At some point kama unatrade forex na unataka kuifanya kama biashara serious, lazima utahitaji kuwa na live account. Live account ni account inayohusisha live money yani, pesa halisi. Hii ni tofauti na demo account au kwa jina lengine (paper trading) account ambayo haihusishi pesa za kweli. Mara nyingi sishauri utumie demo account kwa muda mrefu sana kwa sababu demo haitakufundisha psychological elements kuhusu trading wakati ni element ya msingi sana. Ni vizuri kuanza na demo account halafu taratibu baada ya miezi kadhaa fanya deposit ndogo tu atleast $100 kisha uone ni jinsi gani unaprogress kwenye trading yako ndipo uongeze mtaji.

Kwa nini nasema $100? Kwa sababu ni pesa ambayo haitakurudisha nyuma kiuchumi ikipotea, ukilinganisha na mtu anayeanza tu trading na savings zake zote, huyo yuko katika hatari ya kupoteza kila kitu kwa sababu makosa ni mengi sana mwanzoni na unaweza kuyumba sana kiuchumi.

Njia Za Kufanya Kudeposit

Kila broker ana njia tofauti za kufanya deposit, hizi ni chache lakini zipo nyingi sana.

  • Visa/Master Card
  • Bank/Wire Transfer
  • Skrill & Neteller
  • Sticpay
  • Mpesa Master Card

Tuchukulie mfano unataka kudeposit dola 100 kwenye forex account yako. Kumbuka lazima account yako iwe verified, usijaribu kudeposit hela kama account yako haiko verified kwa sababu za kiusalama. Broker ninayemtumia hawezi kukuruhusu kufanya deposit kama account yako haiko verified, kama kila kitu ni sawa unaweza kuproceed. Kama umekwama kufanya verification unaweza soma uzi huu: Forex ni Nini kuna maelekezo ya kufanya verification.

Mfano huu utakuwa biased kwa broker ninaye mtumia (Tickmill) Vile vile mfano huu utafunika Visa/Master Card pamoja na Skrill.

Subscribe
Notify of
guest
9 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
King bills
King bills
7 months ago

Mpesa mastercard haipokei pesa na tickmill wanasema kuwa wanaprocess withdrawal kwa njia uliyodepositia.Sasa for case ya mpesa mastercard inakuaje sasa.?

Justin
Justin
7 months ago

Nina account ABSA na card yangu ni Visa card. Je km sijaungwa na online payment naweza nikaenda kuwaomba bank waniunganishie….?

Baraka
Baraka
6 months ago

Je kitambulisho cha kura wanaruhusu kufanya verification ya acc

samuel Morris
samuel Morris
6 months ago

yeah!

God
God
5 months ago

Et visa account ni lazima uwe na passport ya kusfiria

Pages: 1 2 3

9
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x