!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

JE FOREX NI UTAPELI?Swali hili limekuwa likiulizwa sana na watu wanaotaka kuanza biashara ya forex trading kwa sababu ya wasiwasi uliotanda mitaani juu ya uhalali wa biashara hii.

Je Forex Ni Utapeli?

Forex trading ni biashara HALALI. Yawezekana umewahi kutrade forex na kutengeneza faida bila kujua. Kitendo cha kuchukua shillingi za kitanzania na ukazibadili kwenda kwenye US dollars unakuwa umefanya forex trading. Kisha baadae ukabadilisha zile US dollars na kurudisha kuwa shillingi za kitanzania kwa exchange rate ya juu zaidi unakuwa umetengeneza faida kupitia forex trading. Mabadiliko ya exchange rates za forex ni nadra sana kuzidi asilimia 1% kwa siku hivyo forex traders hutumia leverage kuongeza ukubwa wa faida zao kwenye mabadiliko madogo ya exchange rates.

Unaweza kujifunza zaidi kuhusu forex kwa kusoma uzi huu: FOREX TRADING NI NINI?

Trading ya aina hii haifanyiki kwa kubadilishana fedha mikononi, Forex traders hukutana kwa njia za kielekroniki kupitia madalali mbali mbali wa Forex ambapo hubadilisha fedha kwa njia za kimtandao. Soko la Forex halina sehemu moja husika ya kukutana kama masoko mengine kwa sababu ni decentralized.

Kitendo cha soko la forex kutokuwa na sehemu moja husika yaani (decentalized), kunatengeneza utata wa kueleweka wa soko hili na kuruhusu mianya mingi ya utapeli wa kimtandao. Lakini kwa wewe ambaye unasoma uzi huu ondoa shaka kwani nita ainisha utapeli na mianya yote inayotumika kwenye forex trading kutapeli traders wapya hivyo ni nafasi yako kujiweka kwenye njia salama na kuepukana na matapeli hawa.

Subscribe
Notify of
guest
6 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Michael Chogo
Michael Chogo
4 months ago

Somo kubwa sana kaka, itoshe tu kusema ASANTE

Ismail
Ismail
4 months ago

Asante kaka Kwa kutufumbua macho, kiukweli ubarikiwe sana, Na sintochoka kujifunza kutoka kwako Moki..

Uromi
Uromi
4 months ago

Kimsingi, ningepata namna ya kuwasiliana na ww ingependeza. Kama hutojali_naomba unitafte kwa hii email (ambroseuromi@yahoo.com)
Hongera kwa somo zuri hili

Pages: 1 2 3 4 5 6

6
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x