!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Je Forex Ni Kamari ?

Mapema wiki hii nilipokea direct message kutoka kwa mmoja wa followers wangu, Aliniuliza Mr. Moki, nimevutiwa sana na Forex trading lakini hisia na mtazamo wangu unaniambia kabisa trading ni kamari. Kwa upande wangu sikupata mshtuko sana kwa sababu nimesikia sana watu, ndugu marafiki na jamaa wakiteta kwamba biashara hii ya trading ni kamari.

Ndiyo, Forex trading inahusishwa kama kamari kama una trade bila kufahamu namna ya kufanikiwa nayo. Kile kitendo cha wewe kurisk pesa ili utengeneze pesa kinafananishwa na kamari. Unachukua risk ya kupoteza ili upate.

“Huwezi kumfundisha paka kupeperuka kama ndege” kwa upande wangu ni kupoteza muda kujaribu kushawishi mtu asiyefaa kuwa trader kwamba trading sio kamari.

Trading ni career ngumu sana tena kwa traders wapya (newbie) na kama una roho nyepesi au unahisi trading ni kamchezo fulani hivi basi lazima utaquit na kuendelea na shughuli zako. Trading inahitaji kitu kinaitwa internal calling na siyo kila mtu ameitwa kufanya hii biashara. Ukiona wewe ni mvivu, hauko motivated kujifunza zaidi au unapata maumivu sana ukipata hasara kidogo basi internal calling haipo kwako.

Leo nikasukumwa kuandika uzi huu kwa kina ili nieleze biashara hii na kumsaidia trader yeyote anaye struggle na anatamani kufanikiwa. Kama unafanya biashara yoyote ile na huna uhakika biashara hiyo itakufikisha wapi bila shaka unachofanya hakina tofauti na kamari…

NOT SURE, DON’T KNOW WHAT YOUR DOING, DON’T KNOW IF YOU’RE ON THE RIGHT PATH AND YET STILL TAKING THE PATH. THAT IS GAMBLING.

Forex inaweza kuwa kamari kama hufahamu chochote unachofanya au hufahamu strategy yako unayotumia kama inaweza kukupa mafanikio au hasara. Biashara ya forex inahitaji kitu kinaitwa edge, bila edge huwezi kupata mafanikio vile vile edge yako lazima iwe proven kufanya kazi kwa muda mrefu sambamba na risk management strategies.

Forex Inawezaje Kuwa Kamari?

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments

Pages: 1 2

0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x