
Forex Trading Tanzania, Yafahamu Haya Kabla Ya Kujiingiza Kwenye Hii Biashara.
Ndugu watanzania, mimi ni mdau na miongoni mwa wa tanzania wachache waliowahi kuanza kufanya biashara hii ya Forex Trading na kupata mafanikio. Kama huifahamu biashara hii kwa undani na jinsi ya kuanza unaweza kusoma uzi huu: FOREX TRADING NI NINI? nimeeleza kwa kina sana hii biashara na jinsi ya kuanza. Leo nimeona kuna ulazima wa kuandika uzi hii uweze kumsaidia mtazania yeyote ambaye anatamani kufanya hii biashara.
Unaweza kujiuliza, kwa nini nachukua jukumu hili? labda nikuambie tu kwamba mafanikio kwenye biashara hii sio rahisi kama inavyo onekana kwenye mitandao na vyombo vya habari. Safari yangu ya mafanikio haikua rahisi, ilikua ni safari ya milima na mabonde yaliopelekea matatizo chungu nzima, nikisema niyaweke hapa ninaweza kujaza daftari zima na bado nikawa nahitaji daftari nyengine mpya.
Leo nitakupa mambo ya msingi sana ambayo unahitaji kufahamu kabla ya kufanya biashara ya Forex. Naandika haya kama njia moja wapo yakurudisha au kutoa kwa jamii bure kabisa kumsaidia yule anayeanza au ambaye yupo safarini kuelekea kwenye mafanikio kupitia hii biashara aweze kuepukana na matatizo makubwa niliyopitia na vile vile kumsaidia trader kupata mafanikio kwa urahisi zaidi.
Kama ningeweza kurudisha muda nyuma niwe mgeni wa forex miaka mitatu iliyopita ningefanya hivyo ili tu, niwe na haya ninayofahamu leo. Kwa hakika ingerahisisha nakuongeza spidi ya mafanikio yangu. Lakini kibaya ni kwamba hakuna mashine kama hiyo, lakini kwa wewe unayeanza sasa, hii nikama lulu kwako. Hivyo basi keti kwa utulivu chukua daftari na kalamu na hakikisha unatoka na point muhimu.
NI VYEMA KUZINGATIA USIMAMIZI MZURI WA MTAJI KULIKO JAMBO LINGINE LOLOTE.
Tunapo anza biashara ya forex trading, wengi huwa na ndoto na taswira
Jiunge na Social Media Platform Kwa ajili ya Forex Traders Piptwitz.com Jifunze mengi kwa wengi https://piptwitz.com
Kwa mtu anaenza ukimwambia hivyo vitu ataona kama utani ila baada ya kupoteza hela na ndipo anaamka na kujua unuhimu wa hivyo vitu. Ni vitu muhimu sana kuzingatia haswa.
Huwezi kufanikiwa na trading kama unachokiwaza ni faida tu na ndoto zisizo madhubuti. hii point ni nzuri sana Talking point. lazima tujifunze kwanza
Mbarikiwe sana
Nimejifunza kitu hapa
Beginners, zingatieni haya. Ni ukweli mtupu, huwezi kuanza leo, ukafanikiwa leo, it took me 3 years to know what exactly forex is. A period in which I lost more than 25 M Tshs. In fact there’s a lot to learn, before you open a live accont and start trading. Forex is such a hard thing but highly profittable… For any new trader to become successful, there are three things that you need 1. Time for it ( you need enough time to learn and practise), fx can never be your after sth so tiring, coz it is an active learning.… Read more »
Mimi bado sijaelewa hata kidogo
0620231022
Nimejifunza kitu Bro.!!Ubarikiwe mnooooooo
Nashukuru sana mwalimu umenipa mwanga nasubiri tu darasa la mwanza lazma niwepo japo siishi mwanza
” sijajiunga na hii biashara ila Nina one week nikitafuta taarifa za kunifanya nielewe kiasi kabla sijaianza,nikirelate na informations nilizokwishazipata, awesome content bro, unaongea ukweli .
kk umekuwa mkweli sana.asante
Asante sana kaka, points taken.
Mm pia nataka kuisomea hii biashara kaka sijui hata nafikaje darasan kwenu ila namba yangu hii,,-0714 3534 57
kaka Mimi kwa majina ni Emanuel madei, ni muda mrefu tangu nimesikia kuhusu forex trade na ningependa kuifanya hii biashara lakini sijui lolote kuhusu hii Biashara jinsi inavyofanywa, na napenda kujifunza naomba msaada wako, namba yangu ya simu 0653234785 / 0758969103
naomba msaada wako
Nahitaji kujifunza forex na kuanzia trading ofisi zenu zipo wap?? Namba yangu ni 0762009367
NAWEZAJE PATA MAFUNZO NA KUJIUNGA?
jaman na mimi natamani kuijua hii biashara…msaada pls
Jaman Mimi nataka kuijua hii biashara msaada please