!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Strategy rahisi kuanza nayo trading 2021.Mfano wa strategy tofauti:

Kwa wale wapenzi wa price action unaweza ukatumia mbinuu hii kununua na kuuza forex pair katikati ya level zako za support and resistance badala ya kusubiri kununua pale kwenye support na kuuza kwenye resistance.

Na kwa wale wapenzi wa elliott wave unaweza ukanunua au kuuza forex pair katikati ya wave 3 na mwanzo wa wave 4. kikubwa ni kuepuka yale maeneo yote ambayo bei hugeuka.

Ukiweza kuyazingatia yote haya niimani yangu utakuwa salama zaidi mwaka 2021.

Baada ya hapa tunaweza kuhamia upande wakurahisisha mambo zaidi kwasababu sasa tuna mbinu bora ya trading.

Automation

Kwanini utumie muda wako kutrade fulltime wakati unaweza ukaifundisha kompyuta ikakufanyia yote haya wewe ukatumia muda wako kwenye mambo mengine yatakayo ongeza kipato chako zaidi.

Takwimu zinaonesha robots hufanya kazi zakujirudia kama hii ya kufuata trading strategy moja kila siku vizuri zaidi kuliko binadamu kwasababu robot halicheki wala haliboreki kufanya kitu cha kujirudia kila siku tofauti na binadamu.

Sio jambo la lalazima kwa kila mtu kwasababu naelewa wapo ambao hupendelea kujiweka katika shughuli fulani lakini kama wewe upo busy au una asili ya kutokupenda kurudia rudia mambo yale yale kila siku basi ni vyema kuijiingiza kwenye ulimwengu wa automation ukatengeneza programu ya kompyuta itakayorudia unachokifanya kila siku sokoni na kukutengenezaea faida enedelevu.

kwasababu tunajua ili uweze kutengeneza faida endelevu katika trading lazima uwe na uwezo wa kurudia kufanya uchambuzi ule ule kila siku katika ufanisi wajuu bila kuchoka na kuboreka. kama wewe sio mtu mwenye uwezo huo basi anza kufikria namna utakavyo iwezesha mbinu yako ya trading iweze kufanya kazi kwa niaba yako wewe ukafanya shughuli zingine.

HITIMISHO

Napenda kutoa shukrani za dhati kwa kuendelea kuwa msomaji wa hii tovuti tunapata comment mbali kutoka kwenu ambazo hututia nguvu kuendelea kuandika kila siku na kuendelea kusaidia traders wengi zaidi bila usomaji wenu bilashaka tusingekuwa tumefikia hapa tulipo leo. Na naamini mtaendelea kuwa na sisi katika safari yetu hii ya forex trading ifikapo mwaka 2021 na miaka mingine mingi ijayo. Usisahau kutoa maoni yako hapa chini ningependa kusikia kutoka kwako, hadi siku nyingie kwakherini.

Sponsored Learn More

Subscribe
Notify of
guest
6 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Ellian Charles
Ellian Charles
1 month ago

Boss umekuwa msaada mkubwa sana kwangu hususani katika hii isue ya Fx, na naamini kesho yangu itakuwa nzuri kuliko jana inshalaa.

Maselekk
Maselekk
1 month ago

Nahitaji mawasiliano yako

Thegreatlonsman
Thegreatlonsman
24 days ago

Appreciate your help brother

Pages: 1 2 3

6
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x