!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Strategy rahisi kuanza nayo trading 2021.Ukitafakari utangundua retail traders hawana nguvu kabisa ya kulisogeza soko ata wakisema waungane wafanye maamuzi sawa, traders wakwenye taasisi za uwekezaji pia ni wadogo ni ngumu sana kusogeza bei sokoni labda wangeungana na kufanya uamuzi kwa pamoja kitu ambacho hakiwezekani kwasababu wapo kwenye ushindani wa kimatokeo. Hawa forex delears ndio wanaouwezo wakulisogeza soko kwasababu wao ndio washikadau wakubwa kuliko wote. Ukitaka kufanikiwa nivyema kufuata hawa forex dealers wengi wao wanasema nini mfano kama forex dealers wapo kumi na 7 kati ya hao wananunua dollar na kuuza euro hivyo nivyema na wewe ununue dollar maana soko linawafuata wao kiukubwa.

Jinsi yakuchanganua mtazamo wa dealers

Ni ngumu kujua dealer yupi anafanya nini katika muda fulani lakini tunaouwezo wakujua dealers hawa wanafanya nini kwa pamoja. Hapa tutatumia tools kama currency strength meter, hii tool haioneshi takwimu za forex dealears tu bali huonesha takwimu za market players wote na kwakuwa forex dealers ndio huchukuwa nafasi kubwa zaidi basi tunaamini kwa ukubwa hizi ni takwimu za fx dealers pekee kiukubwa.

Hii tool itakusaidi kujua katika currency pair fulani, currency ipi ina nguvu zaidi ya nyingine na ipi ina ni dhaifu kuliko nyingine na hivyo kukuongezea uhakika katika uchambzui wako.

Hakuna technical strategy inaweza kushindana na market sentiment kwa ubora

Kama ungeniambia nichague kati ya kutumia market sentimets au technical strategy ningechagua market sentiment kwasababu ndio uhalisi wa soko linachokisema hizi technical strategy kama za price action, elliott wave n.k zote hutegemea market sentiments hivyo ili kujiweka nafasi nzuri yakimafanikio uchambuzi wako ujikite zaidi kwenye market sentiment na kisha technical ndiyo zifuate. Tunapoengelea market sentiment huwa napenda kushikilia currency meters pekee kwakuwa tool zingine huonesha matokeo ya takwimu za watu wachache mfano forecast pools hutoa takwimu za watu wachache waliopiga kura nasio takwimu za forex dealers wote kiujumla.

Namna yakutumia market sentiments kufanya maamuzi ya trading

Sikuizi mimi ni mpenzi wa momentum strategies nanunua pale ambapo naona major dealers wote wanasukuma bei kuelekea upande fulani sijaribu kununua au kuuza pale ambapo bei zinageuka bali na tafuta fursa za katikati, na suburi bei igeuke ipate momentum then ndio niingie kisha nitoke kabla momentum ile haijakwisha.

Tunaona hapo juu kwenye picha bei imegeuka kisha kutengeneza momentum yakwenda chini ya ghafla kwa haraka hapa sasa ndipo naenda kwenye currency meter kuhakika je? kuna momentum ya kweli au ni rasha rasha tu za sokoni, nikisha hakiki kwamba GBP imegalagazwa dhidi ya USD kwa point nyingi basi hua nachukuwa uamuzi wa kuingia sokoni. Mfano wa picha hapo juu ninge sell kwenye sehemu iliondikwa “ENTER”.

Hii mbinu ya momentum trading isikuchanganye kikubwa katika mbinu yoyote unayoitumia hakikisha sehemu unayoingia na kutoka iwe katikati ya trend na sio kujaribu kudaka kisu kinacho dondoka au rocket inayopaa.

Sponsored Learn More

Subscribe
Notify of
guest
6 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Ellian Charles
Ellian Charles
1 month ago

Boss umekuwa msaada mkubwa sana kwangu hususani katika hii isue ya Fx, na naamini kesho yangu itakuwa nzuri kuliko jana inshalaa.

Maselekk
Maselekk
1 month ago

Nahitaji mawasiliano yako

Thegreatlonsman
Thegreatlonsman
24 days ago

Appreciate your help brother

Pages: 1 2 3

6
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x