!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Strategy rahisi kuanza nayo trading 2021.

Zimesalia siku chache mwaka 2020 kuisha na kwakuwa tunaelekea msimu wa sikukuu za christmasi na mwaka mpya nimeona kutoa hii kama zawadi yangu kwako ili tunapoumaliza mwaka huu na kuanza mwaka mpya tuweze kuwa kwenye ukarasa mmoja.

Huu uzi haupo kwa ajili ya kukufanya ubadili strategy yako ya trading bali upo tu kukonesha pale ambapo mimi nimeweza kuona mafanikio kama utapendezwa na mbinu hii unaweza kuitumia katikata trading au ukafanya maboresho kwenye mbinu yako ya sasa.

Tunapoelekea mwaka 2021 ni vyema kuachana na trading ya upofu ile yakufuata indicator gani inasema hivi au vile na niwakati wakuhamia katika trading ya kulielewa soko kiundani.

Kwanini soko la forex hutembea.

Soko la forex hutembea kutokana na mvutano wa bei kati ya wanunuaji na wauzaji tunasema supply and demand.

Mfano bei ya nyama hupanda juu kipindi hiki cha sikukuu kwa sababu watu wengi wana uhitaji wa nyama zaidi na wapo tayari kulipia bei ya juu kula nyama kipindi cha sikukuu hivyo nayo itapanda kutokana na mvutano kama huu. Chukua mfano ulete kwenye forex watu wengi wanapoitaji dollar zaidi basi nayo bei itaenda juu.

Nani huleta mvutano huu wa kimasoko.

Mvutano wakimasoko huletwa kwa asilimia 75 na forex dealers, dealers hawa ni ma benki na beaureau de changes mbalimbali duaniani hubadili pesa kwa niaba ya wateja wao na kwa ajili ya maswala mbali mbali ya kibenki. Baada ya forex delears kuna taasisi kubwa za uwekezaji hawa ni kama hedge funds na forex funds huchangia mvutano huu kwa takribani asilimia 21 hawa hufanya trading kwa ajili ya kutengeneza faida kutokana na mabadilikio madogomadogo ya bei. Kundi la mwisho na dogo kuliko yote ni mimi na wewe yaani retail individual traders sisi tunachangia kwa asilimia 4 tu ya mvutano wote wakimasoko.

Sponsored Learn More

Subscribe
Notify of
guest
8 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Ellian Charles
Ellian Charles
6 months ago

Boss umekuwa msaada mkubwa sana kwangu hususani katika hii isue ya Fx, na naamini kesho yangu itakuwa nzuri kuliko jana inshalaa.

Maselekk
Maselekk
6 months ago

Nahitaji mawasiliano yako

Thegreatlonsman
Thegreatlonsman
5 months ago

Appreciate your help brother

jackson
jackson
3 months ago

kaka mungu akuzidishie nazidi kuelimika kupitia hili bila hata ya kwenda darasani

thomas mussa
thomas mussa
1 month ago

appreciate you bro, tunaomba uendelee kutupa somo

Pages: 1 2 3

8
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x