!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Fixed Risk Amount Vs Risk Percent. Moja Kati ya hivi itakumaliza sana.

Sponsored Content

Inaongeza Spidi ya faida kwenye winning streaks

Kama inavyokuokoa wakati wa draw-down basi ndiyo hivyo hivyo itakavyokupa boost wakati wa winning streaks. Chukua mfano ule ule wa kwanza lakini this time tuseme trader amepata drawdown hadi mtaji umefika dola 80 halafu kikaja kipindi cha winning streaks ya trade kumi mfululizo. This time utafika mapema sana pale ulipokuwa na kupata faida maradufu kwa sababu kuna kitu kinaitwa risk reward. Binafsi huwa sichukui faida unless ni mara 5 au kumi ya risk. Tuseme nimerisk 5% per trade basi nahakikisha nachukua atleast 25%-50% kwenye specific trade sasa unaweza kuona ni kiasi gani naweza kupata endapo nitapata trade kumi mfululizo.

Bad sides za kutumia fixed risk amount

Over risking

Kwanza kabisa fikiria ni kiasi gani unaupa mzigo account yako kwa kuweka risk kubwa. Mtu anaweka fixed amount utadhani account ni dola 100 kumbe account inakuwa imeshashuka hadi 80 au 70, lakini mtu anazidi kuweka risk amount ile ile huku account ikishuka. This is what is called over risking na siku si nyingi unaweza kupoteza account.

Hakuna zaidi ya hiki lakini katika asilimia zile 98 why traders fail, Over risking ni sababu kubwa kuliko.

Unapotumia risk percent unapata fursa ya kuongeza lot wakati account inakuwa kwa ustaarabu. Trader ambaye anarisk kiwango kikubwa halafu anabahatika ana wakati mgumu sana kuendelea kumaintain ile consistency na kusishia kuchoma kesho yake.

Kiasi gani nina weza kurisk per trade?

Kulingana na risk appetite ya mtu huwa inategemea, I am very comfortable nikirisk asilimia 2 ya account yangu but sometime huwa na max out mpaka 3 percent and not more than that per trade. Kadiri mtaji unavyokuwa basi risk nayo inatakiwa kushuka, hakuna haja ya kustress kurisk pesa nyingi kwa sababu zikipotea unaweza kupata mawazo mabaya, wewe pambana na reward. Kamwe usijepatwa na tamaa na kuongeza risk amount kwani nimeshuhudia watu wengi wakila mizinga. Over confidence is bad.

Conclusion

Ili kupata ni kiasi gani unatakiwa kurisk basi ni vyema ukapima uwezo wa strategy yako na kuangalia draw down zake baada ya hapo unatakiwa kuset kiwango gani uko tayari kupoteza hata kama draw down ikija usiweze kuchoma account na vile vile kuto panic.

Wakati unaset kiwango basi ni vyema ukatumia percent na sio amount na hakikisha percent ni ile ile hata kama account inashuka.

Natumaini umejifunza jambo la msingi sana leo, weka comment yako chini kama huajelewa na nitakupa majibu na kukuelewesha.

Sponsored Learn More

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Goodnardo Elioth Jr
Goodnardo Elioth Jr
2 months ago

Got you Brother

Baraka
Baraka
2 months ago

Imekaa poa kaka nmekuelewa

Michael Chogo
Michael Chogo
1 month ago

Somo zuri kaka, asante

Pages: 1 2

5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x