!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Fanya Hivi Kuepukana na Uwoga wakati wa kuswing Trade Zako.Epuka Kuwa Mtumwa

Muda mwengine unaona trader anakesha anafuatilia kila candle siku nzima. Kwa mwendo huu lazima uwoga uendelee kujaa kwa sababu tayari umekuwa mtumwa wa ile trade. Set and forget ni strategy ninayotumia kila ninapo fanya swing trading na inanisaidia sana kuhold pair kwa discpline kubwa sana. Unawezaje kuset and forget? Jibu ni rahisi sana, Endelea na shughuli zako nyingine na atleast check pair zako mara mbili au tatu kwa siku. Zaidi ya hapo ni kuwa mtumwa na kujawa na uwoga usiokuwa na msingi wowote.

Kadiri unavyokuwa desperate na kitu basi uwoga nao haukuachi salama. Let’s say unataka kupiga hela kwenye trade fulani, sasa ukiwa so desperate basi muda wote unakuwa very concerned na every movement kwenye chart na kukufanya ufanye makosa yanayoletwa na uwoga kama kufunga mapema pair ikiretrace tu kidogo au kusogeza stoploss break even. Haya yote hayatakiwi unapokuwa swing trader kwa sababu chance za mafanikio yako yanategemea sana discpline.

Achana na Kelele Za Wachambuzi Mitandaoni

Finance journalists wengi mitandaoni wanafanya kazi ya kutabiri lakini hawana uhakika wa wanachokizungumza. Kibaya zaidi sio wote wanafanya actual trading ni wachache sana. Sasa, unakuta umefanya analysis zako vizuri na trade inaenda very well lakini cha ajabu unafungua Bloomberg au unaenda daily fx au fxstreet unakuta analyst anasema tofauti na ulichofanya kinachotokea ni kwamba wewe unajidharau na kuanza kuogopa kudhani kwamba wewe ni inferior na huwezi kufanya maamuzi sahihi. Unafunga ile trade na baadae soko linatembea upande wako ukiwa haupo sasa utamlaumu nani?

Hizi financial websites nazo hazina uhakika wowote, wanachofanya ni pure speculation na kazi yao ni kutoa habari. Ukisikiliza kwa makini wanakuambia Any opinions, news, research, analyses, prices or other information contained on this website is provided as general market commentary and does not constitute investment advice. xxxx will not accept liability for any loss or damage including, without limitation, to any loss of profit which may arise directly or indirectly from use of or reliance on such information. Mpaka hapa nadhani utakuwa umeona ni kwa nini hutakiwi kuwafuatilia sana hawa wachambuzi. Wanaweza kukufanya upatwe na uwoga na kufanya maamuzi yasiyotumia akili ya kawaida.

Sponsored Learn More

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Goodnardo Elioth Jr
Goodnardo Elioth Jr
4 months ago

Michael Chogo
Michael Chogo
4 months ago

Somo zuri sana kaka, hongera kwa faida uliyopata na msiache kutuelimisha zaidi. Mnafanya kazi nzuri sana

Kidonation32
Kidonation32
4 months ago

Somo zuri sana Kaka bila kuficha kitu ndani yake

Pages: 1 2 3

5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x