
Fanya Hivi Kuepukana na Uwoga wakati wa kuswing Trade Zako.

Siku hiyo trade ilibaki kwenye profit range ya $800 hadi $1000.
The Next Day
Profits ziliendelea kuongezeka kadiri nilivyoendelea kuhold hii trade. Wakati mwengine najiuliza je kama ningefunga trade hii jumatatu ningekuwa nimepoteza kiasi gani?

Kama umegundua kila ikifika kwenye London session pair hii ilifunguka sana (Take note of this).
Ilipofika jumatano this trade iliendelea kupanda hadi ikafika plateau, my plan iliniongoza kufunga this trade kwani nilikuwa nimeshapata reward ninayohitaji.

Hii ndiyo last recorded profit in my account hadi kufikia jumatano jioni.
Key Take Aways
- Kama ningejawa na uwoga na kutoweka order yangu ijumaa basi ningepoteza fursa yote ya kupiga hii trade this week.
- Kama ningepata tamaa na kufunga trade jumatatu basi ningekuwa nimepoteza $900 iliyopatikana jumatano.
Nimeamua kukuelezea mkasa mzima jinsi nilivyo handle situation ya hii trade uweze kujifunza mambo kadhaa. Sasa embu tuangalie jinsi tutaweza kuepukana na uwoga unaotokana na swing trading.
Kubali Kwamba Hasara Zitakuwepo Tu
Ukiweza kukubaliana na hili jambo basi hutopata stress. Hata day traders wanapata hasara tena nyingi sana kwa sababu wana participate sana sokoni. Kama risk amount ni ile ile swing trading itapunguza market participation kwa kiasi kikubwa hivyo kukupunguzia hasara lakini at the same time kukupa fursa ya kupata faida maradufu. Kwenye mfano hapo juu nimeweza kupata profit ya $1900 just by holding three more days.
Vile vile kwenye upande wa hasara ondoa shaka kwani hata mimi napata hasara now and then lakini risk management and risk reward ndio kinachoniokoa. Naweza kupata hasara ya $200 per trade lakini faida ikawa $1900 hadi $2000 ambayo ni 1:10 Risk Reward.
️
Somo zuri sana kaka, hongera kwa faida uliyopata na msiache kutuelimisha zaidi. Mnafanya kazi nzuri sana
Somo zuri sana Kaka bila kuficha kitu ndani yake