!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

Fanya Hivi Kuepukana na Uwoga wakati wa kuswing Trade Zako.

Nature ya biashara ya Forex humlazimisha trader kufanya day trading mapema kabla ya kuamua kufanya swing. Hii imetokana na kuwepo wa information nyingi sana kuhusu day trading ukilinganisha na swing trading mtandaoni.

Swing trading ni aina au staili nyingine ya trading ambapo trader anahold position zake kwa zaidi ya masaa 24 kwa kutegemea price itatembea sana kadiri anavyohold. Lakini wengi wamekuwa waoga sana wakijaribu kuswing kwa kuhofia labda kupoteza faida zote au kutolewa kwenye position zao kama spread zikibadilika wakati wa session succession na mambo mengine mengi.

Yes, swing trading huleta hisia za uwoga lakini naamini ni uwoga wa mara ya kwanza ambao ukishavuka kihunzi cha kwanza na kuona manufaa yake basi hutatamani kurudi nyuma.

Nitakupa mfano mmoja uliotokea wiki hii. Mimi ni swing trader kwa miaka mitatu sasa na kwenye endeavor hii nimeona mambo mengi sana mazuri na mabaya lakini mazuri yanazidi mabaya, na baada ya hapo nitakupa njia madhubuti ya kudhibiti uwoga.

Hii ni GBP/USD, ni pair ambayo hutembea sana na pip value yake ni kubwa kuliko pair nyingi. Last week Ijumaa tar 4 Sept 2020 niliweka sell stop order nikiamini hii support itavunjwa kwa sababu weekly resistance ni kali sana. Kilichotokea ni kwamba Jumapili at market open soko ili chukua order yangu na kuvunja hiyo support na kuanza kuwa in running profits.

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Goodnardo Elioth Jr
Goodnardo Elioth Jr
9 months ago

Michael Chogo
Michael Chogo
9 months ago

Somo zuri sana kaka, hongera kwa faida uliyopata na msiache kutuelimisha zaidi. Mnafanya kazi nzuri sana

Kidonation32
Kidonation32
8 months ago

Somo zuri sana Kaka bila kuficha kitu ndani yake

Pages: 1 2 3

5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x