6 min read Hapa kuna external na internal forces zinapingana sana yani reality ya plan inakuambia wait and relax find another good trade lakini your conscious can not handle the heat inakuambia ooh my God i am losing all of my money.
8 min read Kitendo cha soko la forex kutokuwa na sehemu moja husika yaani (decentalized), kunatengeneza utata wa kueleweka wa soko hili na kuruhusu mianya mingi ya utapeli wa kimtandao.
4 min read Forex trading ni biashara inayoshangaza sana tena inaweza ikakuacha mdomo wazi kama ni mgeni kabisa.…
5 min read Takwimu zinaoneonesha Mindset/ saikolojia huchangia kwa asilimia 55% mafanikio yako katika trading, na kuziachia asilimia 25% Money management na asilimia 20% strategy
3 min read Kila trader duniani kwenye soko lolote la kifedha yupo katika hali ya kutafuta au kuboresha…
5 min read Kama hautaweza kupata consistent withdrawals ni dhahiri kwamba hautaweza kufanya trading ikawa full time job. Trading is a speculative business yani kubashiri.
3 min read Kama wewe ni trader mwenye plan yaani rule based trader ambaye unaamka asubuhi kufuata a well proven plan kila unapotrade, hili somo litakusaidia sana kupiga hatua moja kwenda nyengine.
3 min read Ukikutana na soko lenye tabia ya kuwa na steep retreacments inawezekana kwamba unaweza usipate trade hata moja na kuelekea kuwa na mwaka mbovu.
2 min read Kulingana na Jayson, trader aliyemkabidhi account aliweka lot size nzito sana kiasi cha account kushindwa kuhandle mikiki ya soko.
3 min read Kama huna hata hiyo plan my friend bado uko gizani sana, hauna tofauti na treni iliyokosa kichwa au ndege isiyo na engine.
3 min read Kanusho: Hali ya kiuchumi/kifedha ya msomaji haijazingatiwa, kilichoandikwa kwenye nakala hii kamwe isichukuliwe kama ushauri…
3 min read Naomba niwe wa kwanza kukuambia kwamba usichukulie poa kuchoma account kwani tabia hii ikiendelea huwa inakuwa sugu na huenda isikome hadi utakapoacha trading.
3 min read Ukipata trade 15 na ukakosa 5 hakika mtaji utakuwa nao baada ya muda.
5 min read Kanusho: Hali ya kiuchumi/kifedha ya msomaji haijazingatiwa, kilichoandikwa kwenye nakala hii kamwe isichukuliwe kama ushauri…
3 min read Broker wana janja janja nyingi sana ambazo zinaweza zikakukwamisha kufanikiwa. Kumbuka baadhi ya hizi janja janja ni ruksa kisheria na hautaweza kumshtaki kwa mfano market making imekuwa ikilalamikiwa sana