4 min read Trading Sessions In Tanzania. London/European Session: 9:00 Am – 7:00 Pm New York Session: 3:00…
5 min read Kuhusu suala la bank, ni vizuri ukachagua bank ambazo zinatoa huduma ya online banking pamoja na customer care masaa 24. Vile vile bank inayotoa huduma ya 3d secure visa card.
3 min read Mapema wiki hii nilipokea direct message kutoka kwa mmoja wa followers wangu, Aliniuliza Mr. Moki,…
3 min read Kuna software nyingi sana kwa ajili ya forex trading na kwa jinsi teknolojia imekuwa kwa…
5 min read Ukiamua kuwa fundamental trader basi fahamu kwamba muda mwingi utakuwa unatrade kukiwa na high volatility hivyo kumbuka kutumia risk management kuepukana na slippage kubwa.
4 min read Retail traders tunawahitaji sana liquidity providers kwa sababu tunaweza kutengeneza faida pale tu soko linapotembea either kwenda juu au chini na hawa jamaa wanachangia movement ya soko kwa kiasi kikubwa sana.
7 min read George Soros aliweza kutengeneza zaidi ya dola billioni 1 za kimarekani alipotrade dhidi ya Pound mwaka 1992 kwenye trade moja tu. Bill Lipschutz alitoa dola $12,000 aliyoachiwa kama urithi na wazazi wake na kufanikiwa kuikuza mpaka $250,000.