!BREAKING: Profxtigers Launches Piptwitz™ - A Professional Forex Community Built For Traders.

BROKER MZURI WA FOREX TANZANIA (2020)Biashara ya Forex trading Tanzania imekuwepo kwa takribani miaka 5 sasa toka ilipoanza kupata umaarufu lakini kwa kipindi chote hicho hakuna forex broker yeyote aliyeweza kufungua na kusajili kampuni nchini mpaka sasa.

Forex traders wa Tanzania wamekuwa wakitrade na offshore brokers yani mabroker kutoka nje ya nchi.

Hii imechangiwa sana na kutokuwepo kwa brokers waliosajiliwa nchini na kupelekea traders wengi kutokuwa na usalama wa pesa zao na kama chochote kitatokea kati ya broker na trader basi trader atakuwa katika hali mbaya na kukosa msaada.

Hivyo basi, unapochagua offshore broker unatakiwa uwe na uhakika wa usalama wa pesa zako na kama utafanya makosa unaweza kujikuta umetapeliwa pesa zako ndani ya muda mfupi. Traders wengi wamekuwa wakitapeliwa na binary hivyo angalia na wewe usije kuzama kwenye huo mkumbo.

Broker aliyesajiliwa kwenye nchi illiyo na sheria madhubuti hawezi kukutapeli wala kukuletea shida yoyote kwani anaweza kufutiwa leseni na ikawa mbaya kwa biashara yake. Vile vile broker anaweza kufilisika na kama ikitokea hivyo unaweza usilipwe kabisa.

Ili kuepukana na balaa hizi itakubidi uwe mtulivu wakati unatafuta broker na usikurupuke kabisa. Nimekuandalia uzi mzuri sana ambao utakusadia kumkagua broker kabla hujafanya maamuzi ya kudeposit pesa zako. MUHIMU SANA UKASOMA

JINSI YA KUMKAGUA ONLINE FOREX BROKER. (MUHIMU SANA)

Unaweza kusoma Uzi huu wa kingereza 6 Crucial Things to Consider When Choosing a Forex Broker

Kama utakuwa na swali unaweza kuuliza kwenye comment section chini na tutakujibu.

Sponsored Learn More

Subscribe
Notify of
guest
2 Comments
Most Voted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments
Emmanuel
Emmanuel
5 months ago

Hello Moki, awesome write up , i will like to have a business discussion with you with regards to FX partnership. Kindly write me on okwaraemmanueljnr@gmail.com

2
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x