4 min read Kila trader yuko tofauti na ninataka uelewe kwamba hili sio swali zuri sana kuuliza kwa sababu ukimuuliza mtu ambaye hana uelewa mzuri anaweza akakupa timespan ambayo utakuwa disappointed.
6 min read Kwenye pita pita huko mitandaoni nina imani umewahi kuona screenshot za trades ambazo ukitafakari entry zake basi…
5 min read Wakati naanza trading kuna trader mmoja aliwahi kunitamkia haya maneno “Ngoja nicheze forex leo nipate hela ya Msosi”….
5 min read Tape hizi zitakusaidia kuona what really happened before the mistake, what triggered you to make the mistake and what was your reaction after the mistake.
4 min read Somo la leo moja kwa moja litajikita kwenye jinsi ya kupima trading profits zako. Nina…
4 min read Nature ya biashara ya Forex humlazimisha trader kufanya day trading mapema kabla ya kuamua kufanya…
6 min read Hapa kuna external na internal forces zinapingana sana yani reality ya plan inakuambia wait and relax find another good trade lakini your conscious can not handle the heat inakuambia ooh my God i am losing all of my money.
4 min read Forex trading ni biashara inayoshangaza sana tena inaweza ikakuacha mdomo wazi kama ni mgeni kabisa.…
3 min read Kuna software nyingi sana kwa ajili ya forex trading na kwa jinsi teknolojia imekuwa kwa…
5 min read Ukiamua kuwa fundamental trader basi fahamu kwamba muda mwingi utakuwa unatrade kukiwa na high volatility hivyo kumbuka kutumia risk management kuepukana na slippage kubwa.
4 min read Retail traders tunawahitaji sana liquidity providers kwa sababu tunaweza kutengeneza faida pale tu soko linapotembea either kwenda juu au chini na hawa jamaa wanachangia movement ya soko kwa kiasi kikubwa sana.
7 min read George Soros aliweza kutengeneza zaidi ya dola billioni 1 za kimarekani alipotrade dhidi ya Pound mwaka 1992 kwenye trade moja tu. Bill Lipschutz alitoa dola $12,000 aliyoachiwa kama urithi na wazazi wake na kufanikiwa kuikuza mpaka $250,000.
5 min read Kama hautaweza kupata consistent withdrawals ni dhahiri kwamba hautaweza kufanya trading ikawa full time job. Trading is a speculative business yani kubashiri.
3 min read Kama wewe ni trader mwenye plan yaani rule based trader ambaye unaamka asubuhi kufuata a well proven plan kila unapotrade, hili somo litakusaidia sana kupiga hatua moja kwenda nyengine.
3 min read Ukikutana na soko lenye tabia ya kuwa na steep retreacments inawezekana kwamba unaweza usipate trade hata moja na kuelekea kuwa na mwaka mbovu.